Mke wa mtu ananing'ang'ania

Mke wa mtu ananing'ang'ania

Wadau habari zenu
Jamani kuna mke wa mtu nlimtongoza lakini sikujua kama anakaa na msela wake tulipoanza Mambo yetu yale akaanza kunisifia kwamba namkuna vizuri kuliko msela na wake na nimemfundisha Mambo mengi kwa muda mfupi ambayo hajawahi kuyapata kutoka kwa bwanake,Sasa hivi karibuni bwanake kamshtukia akamwagia nguo zake tindikali na wamegombana na simu kamnyang'anya nimemwambia demu tuachane hataki anasema Bora aachane na huyo Mme wake lakini sio kuachana na mm kiukweli demu ni mtamu ana umbo dogo dogo hivi lakini nna wasiwasi nsije kurogwa jamaniii manake naskia mke wa mtu sumu na kuniacha hataki
Eti usije ukarogwa...utarogwa mara ngapi kwani?
 
Baba cha mtu "Mavi".achana naye kwa wema na nenda Nyumba za Ibada Ukatubu na uombe msamaha kwa Mwenyezi Mungu.Tamaa ilimponza fisi.
 
Dah! Samahani wewe ni mvulana au? Kwa nini usiwe na msimamo uliokamili? Angalia unavunja ndoa ya watu halafu bado huzingatii msimamo wako kama mwanaume.shikilia msimamo wa kuachana naye
 
Mbona Hakuna shida. Muoe Kabisa... Afu siku akimpata mwengine. Nawe utaachwa zamu yako ikifika
 
Dah! Samahani wewe ni mvulana au? Kwa nini usiwe na msimamo uliokamili? Angalia unavunja ndoa ya watu halafu bado huzingatii msimamo wako kama mwanaume.shikilia msimamo wa kuachana naye
Mwanaume tena wa shoka kuandika hapa sio kwamba sina msimamo ila najua matatizo kama haya yanawakuta wengi nna mademu zaidi ya 8 michepuko hiyo na wote hawanibabaishi
 
Chagua moja kwani maamuzi yako ya leo ndiyo faida/hasara ya kesho yako.
 
"...afrika mwanaume huingia kwenye matatizo kwa sababu mbili tu, wanawake au pesa..."

J J wa Jamiiforums
 
Mwanaume tena wa shoka kuandika hapa sio kwamba sina msimamo ila najua matatizo kama haya yanawakuta wengi nna mademu zaidi ya 8 michepuko hiyo na wote hawanibabaishi
Ningekua wewe kama nina watu zaidi ya 8 nisingekua hapa kuomba ushauri, wangekua wamenipa uzoefu wa kutosha kujua nashughulikia vipi hili swala.

Lakini kwakua umeleta hapa, hapa naona vitu vitatu ama unadanganya unachangamsha kijiwe, unajipigia promo au utoto mwingi.

Either way grow up get a life man
 
Back
Top Bottom