Mke wa mtu ananiganda

Mke wa mtu ananiganda

Achana nae huyooo, by the way ni. Amri ya sita muuulize yule mwenzako wa kawe
 
Ngoja wakakukate kikojoleo.
downloadfile-38.jpg
 
IKIWA MUNGU ANAKUONA KWA NINI
UFANYE MADHAMBI KWA KUJIFICHA?
JUA JENGO LA LODGE HALIMZUII
MUNGU KUONA UCHAFU WENU, JUA
JENGO LA LODGE HALIMZUII MUNGU
KUSIKIA MADHAMBI YENU!! JE
UNAJISIKIAJE PINDI UNAPOFANYA HUO
UCHAFU KWA MKE WA MWENZIO? JUA
KILA BAYA UTENDALO KWA VIUMBE
WENZIO LITALIPWA KTK NJIA HIYO HIYO
ISIPOKUWA UKIACHA NA
KUTUBIA.....MUNGU HUSAMEHE DHAMBI
ZOTE HEBU TUBIA EWE RAFIKI YANGU
 
Huwa siko tayari kushiriki na mke wa mtu, labda atoke mkoa tofauti na ninapoishi.
 
Eti Mungu si Athumani ombi langu limekubaliwa! Unamshirikisha Mungu kwenye uzinzi?!!
 
Miezi miwili iliyopita kupitia Fb nilibahatika kuomba urafiki kwa mwanamke mmoja hivi.

Baada ya kuwa marafiki tulianza Ku chart na hatimaye kuomba tunda kwa mwanamke huyo.

Mungu si Athumani bana ombi langu likakubaliwa na tukakubaliana tukutane sehemu fulani hivi kwa ajili ya show la kibabe.

Siku ya kwanza tuliyokubaliana nilimyeyusha kuwa Nina udhuru kidogo hivyo tukapanga siku nyingine tena ya kupiga show hiyo.

Siku hiyo by saa 5 hivi tulifanikiwa kukutana eneo la tukio kisha tukachukua chumba na kuanza kuivunja amri ya saba inayokataza "Usizini".

Tulipiga show ya kibabe sana, mke huyo wa mtu alifurahia saaana jinsi nilivyomshughulikia kikamilifu na hakika ali enjoy.

Sasa,mwanamke huyu amekuwa ananiganda saana tuzidi kuivunja amri hiyo ya saba kwa madai mumewe ambaye ni Fundi magari/garage hajawahi kumpiga show kama niliyompatia na siku nyingine huwa akirudi hufika na kuegesha kitandani kimoja bila kumshughulikia,au akijitahd humpiga goli moja wakati mwanamke huyo ndo kwanza anadaiiii.

Vp,niendelee kumsaidia?

Kweli mke
....Hawa watoto wa shule sijui wanafanya nini humu.
 
usijifany mjanja wakat upo kweny UJINGA ULIO TUKUKA
 
Staki kuamini kua hujui kama unafanya kosa,ila kama shetani amekupitia mara moja usikubali akupitie tena,na daima kwenye maisha yako yote kabla hujafanya jambo baya fikiria jee ingekua ni mimi ningejisikiaje? usimfanyie mtu mabaya na hujui huyo mwenye mke ana moyo wa aina gani huenda akamuachia mungu ila malipo yake mabaya na huenda pia akakufanya mambo mabaya ukajuta maisha yako,sasa niafadhali ukamwambia huyo mwanamke wewe huwezi tena kuendelea na Uchafu huo...
 
Back
Top Bottom