Mke wa mtu ameniponza

tishio la kuua ni kesi tayari....hata kama ulikosea ila pole sana hiyo ni changamoto
 
ninachoshangaa mkuu, bado unamtaka mke huyo wa watu,,kosa lako umevionja ukubwani,,, hiyo kitu ni sanaa tuu....kumbuka hata huyo ulie nae ni mtalaka, na lazima watagombana na yule mwingine....ushauri we hama mji tuu....kaanze upya mkoani....
 
Hama Dar, BADILI namba za simu! Kaanze maisha mapya mkoa mwingine, vitu Kama hivi watu wanauwawaga



 
ndo maana nakuaga addicted na jf, kila sekunde linashushwa zaga jipyaaaa!!!....very interesting....
zaga jipyaaaa.
ngoja nije,

Halafu mengi ni hadithi.....halfu waungwana tunakomaa kushauri hadithi.....du!
 
[QUO TE=UKAWA2;12537446]Fonts ndogo sana nimeishia katikati,Chukua ushuri huo huo utakaopewa.[/QUOTE]
Nacheka sana
 
Huyu jamaa pombe sijui inakuwaje anaisingizia. Yani wanawake wote wawili unasema ninpombe.

Acha kuogopaogopa, mwanaume pambana tuu that your fate.
 
Dah! "Nilikunywa pombe nikajikuta .......tukaendelea" tena "nilikunywa pombe nikajikuta.....tukaendelea"

Hii pombe ina nini cha ziada, ni wewe tu ndio ulikuwa unashangaa kujikuta..!! Au wote wawili ndo mnajikuta tayari mshafanya?
 
Ufuska ufanye wewe, lawama umtupie pombe. Binafsi siamini mtu aweza kulewa kiasi cha kupoteza "fahamu" kiasi hicho.
 

Wewe sio mtu makini
 
Yaani hudhani duniani unaweza kupata mke mwingine mbali na huyo mke wa mtu. Kijana funguka, kwanza we unatumiwa na hawa wanawake kama toilet paper. Huyu unayedai mke wako anakuja kwako pindi anapokuwa na shida. Ikiisha anarudi kwa mumeo. Kwahiyo we kipozeo tu. Mbona wanawake wengi tu. Acha useminari wako kijana. Hawa walishaharibu ndoa zao tayari wanatafuta mahala pa kujiegesha. Hivyo na wewe tafuta wako brand new!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…