..Mke wa mtu ameniota..

Kwa jinc ulivyoanza kumcfia tu inaonyesha na wewe unamtamani!
 

umekurupuka...soma post za watu vizuri!...
 
Ukaribu isiwe sababu! kuota ndo nn? mke wa mtu ni sumu,utakuja kukojoa dagaa!
 
Mambo ya kulana denda ni uchafu uliopitwa na wakati, unakula kitumbuwa na yeye anakula ndizi. Mwambie aka ote tena.


Mkuu kwa hiyo wakiume akila kitumbua na wakike akila ndizi ndo usafi wa kisasa. Umenichekesha! Jamii forums oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
 

Duh, Maswali gani haya AD? Ila hapo Most of sie mijanaume ya siku hiz (Mi sipo hapo) hiyo namba Fo ndo ipo reachable zaidi.., mawazo yangu tu hayo.,
 
mke wa mtu sumu

Ni kweli kaka mke wa mtu ni sumu !!
Kama wewe umeoa hebu jaribu kufikiri tu , unabaini mkeo anakatwa na mshikaji utafeel aje ??
Mi nashauri cheza mbali na huyo mwanamke !!
Juzi kati apo kuna jamaa kaliwa **** live na picha watu wanazo hii yote alijifanya anaonyesha kiwango kwa mke wa mtu.
 
kwani una nyumba jirani yake? kama umepanga hama, badili na namba ya simu.. no more contact, iepuke dhambi ikiwa mlangoni
 
unajua hapa tujiheshimu,ifike mahali post kama hizi mzipeleke kwenye mitandao ya washenzi huko,umekosea pa kuipeleka
 
Ushauri wangu kwako ni stricktly leave her,if you want your safety and date her if you want to be sodomized,he will find you at all cost once he find out dat u date his wife mke anauma ucpime jiheshimu starehe ya dakik 5 isikuharibie ingawaje unaonekana ulihitaji go ahead tu ha" pima mwenyewe ndg ha!
 
Kawaida ukiambiwa kuhusu kitu fulani ni 'ndoto' maana yake ni kuwa kitu hicho hakitatokea, alivyokuota ndio haitatokea kwa hiyo mpotezee, ogopa sana mke wa mtu, simuliwa tu usiombe yakukute.
 
dizaini nmeona hakuna uwalisia...
ila kuwa makini vya watu sumu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…