Vitoto vinakuja na hadithi za kutunga ovyo ovyo na mijamaa inapoteza muda kuchangia!!! am out on this one!Ivi haya maisha yalivyo magumu,nyie mnapata wapi muda wa kukaa chini na kutunga hadithi kama hizi?
Lol...Ivi haya maisha yalivyo magumu,nyie mnapata wapi muda wa kukaa chini na kutunga hadithi kama hizi?
Asanteni wanaJAMVI kwa ushauri wenu wa hapa na pale, hata kwenu ninyi mliokejeli asanteni kwa sababu mlichangamsha JAMVI. Leo hii nimeamua kubadili namba zangu za simu kumwepuka huyu "dada" ambaye ni mke wa mtu kwa vitimbi vyake vya sms hatarishi.
Jana jioni nilijikakamua nikamwandikia sms ya ku'apologize' then nikamwambia aachane na mambo ya ndoto kwani ndoto sio za ukweli..
Akanijibu kwa kirefu kabisa: "UTAKUA LINI MDOGO WANGU, UNAFIKIRI KUKUAMBIA NDOTO NI LAZIMA IWE NDOTO KWELI AU NI NJIA YA KUFIKISHA UJUMBE?.. NIMECHOKA KUVUMILIA NDIO MAANA NIKATUMIA TRICK HIYO, NAOMBA UFUNGUKE UNIELEWE PLIZ"..
Hapo ndipo nikajua ukubwa jalala!..
...
Nilimpigia na kumwambia LIVE mimi na yeye mazoea basi, nipo tayari kwa lolote! Sihitaji kampan inayohatarisha maisha yangu. Isitoshe fiancèe wangu anamfaham na wanaheshimiana.
...
Baada ya mazungumzo nilikata sim na kuiharibu ile sim card, nikachukua line nyingine na nimeshasajili.
...
Nawaza jinsi ya kumwambia my fiancèe coz nilivyomwambia nimebadili namba zangu za simu, amekuja juu ile mbaya.
...
Sitaki nimuumize mpenzi wangu na sitaki awe na hisia mbaya juu yangu.
...
WanaJAMVI kwa mara nyingine naomba msaada wenu wa mawazo na ushauri. MSINICHOKE.
...
Mchana mwema.
...
SI unit
Unatumia nguvu kubwa mno.... Sasa ndio nimeelewa kua you are in Love with her na washindwa mtoa akilini na somehow wamlaumu yeye kwa kukuweka hali hio.... Pole saana SI. Mapenzi hayana ADABU....
kwa nini umeshindwa kujiamini kwa kile ulichoamua ??? je akifahamu hiyo namba utabadilisha tena??? sidhani kama kulikuwa na sababu ya wewe kubadilisha namba bali kuwa na msimamo na kusimamia kile ulichoamua
Yaani yuko kwenye mateso kama yangu. Navyokupendaga wewe shemeji yangu we acha tu. Ila line ya simu sikubadilishii :lol:Unatumia nguvu kubwa mno.... Sasa ndio nimeelewa kua you are in Love with her na washindwa mtoa akilini na somehow wamlaumu yeye kwa kukuweka hali hio.... Pole saana SI. Mapenzi hayana ADABU....
Vitoto vinakuja na hadithi za kutunga ovyo ovyo na mijamaa inapoteza muda kuchangia!!! am out on this one!
Unatumia nguvu kubwa mno.... Sasa ndio nimeelewa kua you are in Love with her na washindwa mtoa akilini na somehow wamlaumu yeye kwa kukuweka hali hio.... Pole saana SI. Mapenzi hayana ADABU....
Yaani yuko kwenye mateso kama yangu. Navyokupendaga wewe shemeji yangu we acha tu. Ila line ya simu sikubadilishii :lol:
Ivi haya maisha yalivyo magumu,nyie mnapata wapi muda wa kukaa chini na kutunga hadithi kama hizi?