Hapa hakujiua kwa sababu hiyo mkuu. Alishazoea mwenyewe aina hiyo ya maisha coz aliolewa tangu mwaka 1999.Depression mbaya sana. Mtoto mzuri kama huyo ni miongoni mwa wake 14 wa Mfalme na mwakani kama kawaida lazima aongeze mke. Hapo lazima mrembo ajimalize wallahi akiwaza wenzie wa rika na uzuri wake wanavyofaidi ndoa zao za mke/mume mmoja - you have full control of the machine!
Sasa huyu mara kachovya pale, mara kule, mara hapa atakuwa na uwezo gani huyo? Hata yule tunayeambiwa alikuwa equivalent na marijali 30 wa ukweli hakuwa na jeuri hiyo.
Kwani kuolewa 1999 ndo kuzoea? Yawezekana hakua amezoea kabisa ilikua bora liende miaka yote hiyo. Kukaa miaka mingi kwenye shida hakumaanishi kuzoea shidaHapa hakujiua kwa sababu hiyo mkuu. Alishazoea mwenyewe aina hiyo ya maisha coz aliolewa tangu mwaka 1999.
Mkuu I believe hivyo vingine ni visababu tu; ila sababu kuu ni kama nilivyoeleza. Hata kama inadaiwa sababu ni KUKATAZWA KUHUDHURIA MSIBA WA DADA YAKE hiyo ni sababu iliyohitimisha matatizo ya muda mrefu. Well, kama unavyodai, "alishazoea hiyo hali" dawa zenyewe alizotumia kujimaliza tunaambiwa ni za kupunguza msongo wa mawazo. Why awe nazo kama hana hilo tatizo?Hapa hakujiua kwa sababu hiyo mkuu. Alishazoea mwenyewe aina hiyo ya maisha coz aliolewa tangu mwaka 1999.
Sawa mkuu. Pengine upo sahihi..Mkuu I believe hivyo vingine ni visababu tu; ila sababu kuu ni kama nilivyoeleza. Hata kama inadaiwa sababu ni KUKATAZWA KUHUDHURIA MSIBA WA DADA YAKE hiyo ni sababu iliyohitimisha matatizo ya muda mrefu. Well, kama unavyodai, "alishazoea hiyo hali" dawa zenyewe alizotumia kujimaliza tunaambiwa ni za kupunguza msongo wa mawazo. Why awe nazo kama hana hilo tatizo?
Mkuu matatizo hayazoeleki na usiombe "kufugwa" ndani kama mtumwa hata kama unapata "mahitaji" yote kuna hitaji lingine la msingi sana; linatibu zaidi ya hayo madawa ya depression aliyotumia "kwa wingi".
Sio wote lakini. Kila binadamu ana "akili yake".Yanazoeleka mkuu.. Tena yanazoeleka vizuri tu. Watu wana matatizo yao na wanaishi kwa amani kabisa..
wanalazimishwaga kuolewa si wanapelekaga wenyewe bikira zaoMkuu I believe hivyo vingine ni visababu tu; ila sababu kuu ni kama nilivyoeleza. Hata kama inadaiwa sababu ni KUKATAZWA KUHUDHURIA MSIBA WA DADA YAKE hiyo ni sababu iliyohitimisha matatizo ya muda mrefu. Well, kama unavyodai, "alishazoea hiyo hali" dawa zenyewe alizotumia kujimaliza tunaambiwa ni za kupunguza msongo wa mawazo. Why awe nazo kama hana hilo tatizo?
Mkuu matatizo hayazoeleki na usiombe "kufugwa" ndani kama mtumwa hata kama unapata "mahitaji" yote kuna hitaji lingine la msingi sana; linatibu zaidi ya hayo madawa ya depression aliyotumia "kwa wingi".
Haizoeleki kwa kweliKwani kuolewa 1999 ndo kuzoea? Yawezekana hakua amezoea kabisa ilikua bora liende miaka yote hiyo. Kukaa miaka mingi kwenye shida hakumaanishi kuzoea shida
Kafa na mengiDepression mbaya sana. Mtoto mzuri kama huyo ni miongoni mwa wake 14 wa Mfalme na mwakani kama kawaida lazima aongeze mke. Hapo lazima mrembo ajimalize wallahi akiwaza wenzie wa rika na uzuri wake wanavyofaidi ndoa zao za mke/mume mmoja - you have full control of the machine!
Sasa huyu mara kachovya pale, mara kule, mara hapa atakuwa na uwezo gani huyo? Hata yule tunayeambiwa alikuwa equivalent na marijali 30 wa ukweli hakuwa na jeuri hiyo.
Mazingira yanawalazimisha; kuolewa na mfalme ni zaidi ya heshima kuitwa malkia. Later wanagundua waliingia chaka mwishowe kilio.wanalazimishwaga kuolewa si wanapelekaga wenyewe bikira zao
Mi nitakuwa pembeni yako kukutia yaani kukutia moyo ili usiwe na genye .Kwa mimi nnaetaka dudu kila mara inakuwjae hiyo ratiba mpaka kuja kufikiwa si nishakufwa na nyege jamani,,kwanza nasikia huwa wanaishi kama watumwa tu
Wakati Wote Mungu ni MwemaMungu Ni Mwema Wakati Wote