Mke wa Lowassa v/s Mke wa Magufuli

Mke wa Lowassa v/s Mke wa Magufuli

Huu uzi utawauma wengi maana regina ni habari nyingine
 
Mke wa Magufuri hana Kimbelembele

Kwani Magufuli ana wake wangapi..?

Wee ni Kabula au..? maana unaongea as if unamjua Magufuli sana...

Janeth mwenyewe atampigia Lowassa kura....!!! ndio hapo sasa...!!
 
Mbona Michell Obama mkewe alikua ana msaidia Obama kwenye kampeni? Shida iko wapi? Wote wawili wajitokeze na mme wa mgombea ACT nae ajitokeze ku msaidia mkeo.
 
Mke wa Magufuli ana uhakika wa kuwa first lady ndo maana hahangaiki km huyo mbibi mke wa mzee wa maumvi, a.k.a mzee wa kujinyeaaaaa. namcheka kwa dhalau hahahahaahahahahaha.......
 
Aa umesahau wewe endeatu kulopokalopo .kamuulizie huyo ccm mwenzako HUKO ilala . chezea mungu wewe .
 
Mbona Michell Obama mkewe alikua ana msaidia Obama kwenye kampeni? Shida iko wapi? Wote wawili wajitokeze na mme wa mgombea ACT nae ajitokeze ku msaidia mkeo.

Na mke wa Hashim Rungwe naye ajitokeze
 
Back
Top Bottom