Huyu regina lowassa nae ana kiu ya ufirst lady kama ambavyo mme wake ameupania uraisi japo afya yake hairuhusu,,,na hiyo ni kwa sababu ameshaonjeshwa hela za siasa za kupiga bila kutoka jasho,,,she jus want some more,,,
kumbuka kuwa regina huwa anahusika pia kwenye deals za lowass chafu na safi na pia ni stakeholder mkubwa kwenye zile kampuni zaidi ya 3 ambazo lowassa alianzisha akiwa waziri (alphatel,barare na nyinginezo),rejea ile habari ya fred lowassa kufuatiliwa na kuchunguzwa na SFO ya uingereza baada ya kununua nyumba kihuni london miaka michache iliyopita,,regina lowassa ana own 500 shares kwenye izo kampuni,,idadi sawa na zile za lowassa
On the contrary mama magufuli yupo osterbay primary school anaendelea na majukumu yake ya kujenga nchi kadiri Mungu alivyomjaalia,ukizingatia shule hazijafungwa hivyo anaendelea kufundisha watoto wetu kwa ajili ya kizazi bora cha kesho