Mke wa kidigo

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Jamaa mmoja alikwenda oa Tanga, alipokuja nae mke Dar siku ya 7 akamwambia mkewe asubuhi kuwa usiku watakula nje. mume kurudi jioni akamkuta mkewe ameshatoa meza na viti nje ya nyumba anamsubiri mume wapate kula.
 
Si afadhali amemkuta ametoa nje meza ya kulia chakula, angekuwa ana uelewa vizuri wa tafsida angeshangaa tayari ameshagawa unyumba nje, ashukuru sana huyu jamaa!
 
Jamaa mmoja alikwenda oa Tanga, alipokuja nae mke Dar siku ya 7 akamwambia mkewe asubuhi kuwa usiku watakula nje. mume kurudi jioni akamkuta mkewe ameshatoa meza na viti nje ya nyumba anamsubiri mume wapate kula.

mmmmhhh!! huyo c mdigo wa tanga, mi nnavyo wafahamu, cdhani kama angekuwa na ushamba wa namna hii, these mamaz are
vere janja bana, iko kukulowekea nguo...maji weka iliki nk. tabloo wenyewe mpasa sahau liko toka
 
Back
Top Bottom