Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo mengine ni ujinga au mfumo dume unakusumbua, we unataka ufuliwe na mke wa kaka yako ili iweje?Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo kakaMke wa mtu akufulie?ina maana ameolewa na watu wawili?
Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo kaka
😀😀 umeanza...
Hata mimi naamini ameamua kutuchangamsha tu!Naamini huu ni utani tu.
Haya rafiki nangoja.Leo rafiki lazima apate kitimoto!