Mke wa jirani anataka tufanye nae mapenzi

Mke wa jirani anataka tufanye nae mapenzi

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Ni baada ya kuhisi kuwa mke wangu anamtamani mume wake ndipo Jana nimekutana nae dukani kwa mangi akaniambia.Mkeo na mume wangu naskia wana mahusiano.kama vipi na sisi tulipize kwa kugegedana.Kama haitoshi Leo asubuhi kaja ninapokaa kuchota maji na khanga moja.
Swali nimgegede au nipotezee Kesho nikampe kura yangu Lowasa.
 
dick;
Mbona kila siku nyuzi zako ni wanawake wanakutaka weye tu huwataki?? Na huyu m,ke wa ntu na Lowasa na kura ni wapi na wapi?? Haya, nenda kamlambe kesho ufie hapo kabla ya kupiga kura. Mijitu mingine bana, Agrrr Sisi tunaomba kuche tukamchague Lowasa huku wengine wanavizia vya watu
 
Mimi Edward Lowassa, Mgombea Urais wa CHADEMA, nakuomba kesho Oktoba 25 uwahi saa 12 Asubuhi kituoni na ukatupigie kura. Chagua MABADILIKO, Mtumie na Mwingine.
 
We ----- kweli yaani hustuki mkeo kumpenda jirani
unaanza kuuliza habari ya kugegeda mke wa mwenzio kwanza
Unless kama humpendi mkeo
 
Kama unampango wa kumpa kura lowasa bora ukamgegede tu huyo mke wa mtu
 
Mgegede than kesho asubuhi na mapema kaweke alama ya vyema kwa lowasa pia usisahau wagombea wengne wa UKAWA
 
Aisee we jamaaa umenishinda tabia duuuu............una mikasa km nyigu..
 
Kabla ya kumgegeda kuwa na uhakika wa usalama wako.maana nawe unaweza kugegedwa pia.
!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom