Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Huyu shost alikuwa wale waliobaji kwenye shelf kidogo. Tangu amemaliza shule alikuwa nyumbani muda mrefu mpaka pale handsome boy alipokuja kutoa posa na harusi ikafuata. Wazazi waliambiwa kazi ya mkwe ni mfanya biashara na kuridhia binti aolewe.
Baada ya ndoa shost alitujia huku kwetu Kwamtogole na Q7 brand new. Tulifurahi kuwa na sisi tuna shost mwenye ka life mjini.
Ni baada ya bwana shemeji kwenda safarini Swaziland. Tumepata taarifa kuwa kumbe kazi kubwa ya handsome man ni ujambazi na sasa amefungwa huko baadavya kuzidiwa na polisi akiwa na wenzake
Baba wa shost alivyo mzee wa heshima asijue sura yake ataiweka wapi. Aliitisha kikao cha ndugu kuomba mtoto wao arudi nyumbani. Bi shost aliwajibu ndugu kuwa wampe milioni 5 za matumizi kila mwezi kama hawawezi wamuache kwa jambazi wake.