Nani aliyekwambia kuwa mtu mwenye matatizo kama Slaa anaweza tatua ya wenzake?! Lazima nyumba yako iwe safi kabla hujanyooshea kidole za wenzako.
wameshakamatwa mara ngapi??? na wengine wako jela kwa ajili yao??? too blind to see it huh?nakubaliana na wewe lakini kama unasaliti si ni mpaka ukamatwe na ushahidi uwepo na sio hearsay mnayoisema
ninamna tu ya kukuonyesha Dr sio malaika na hana jipya. muhuni tu
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ph-kulangwa-habari-leo-sasa-ni-zamu-yako.html
Ndugu wana JF,
Nimekuwa nikisoma nakufatilia trend zote zilizokuwa zinanihusu,naomba kuwashukuru wote mlioweza kutoa maoni ambayo yamewajenga wengi wanaopitia mtandao huu,leo nimeamua kuvunja ukimya na kujiunga na wana JF ili inapotakika basi mniulize mwenyewe kuliko kusikiliza watu wachache wenye ajenda zao binafsi.Mimi ndiye Josephine Mushumbusi.Sijawahi kuongea au kuulizwa chochote juu ya maisha yangu binafsi vyombo hivi nya habari vimekuwa vikiandika mengi juu yangu leo,sitashangaa sana kwakuwa hilo ni lengo lao.
Ndugu wanaJF,kwa wanaojua maisha ya ndoa,watakubaliana na mimi ndoa ni ya watu wawili ndoa haielezewi mahali pa wazi,ndoa ni ndani ya chumba chenu,watu wengi wamehukumu hasa wanapotazama maadili ya ndoa za kikristo,
mimi ni mkristu na nimejifunza Biblia vizuri,Lakini ni biblia hiyohiyo imetoa ruhusa kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa sababu ya msingi sana.
napenda niwaeleze,mtasoma mambo mengi,mimi ninao moyo mkuu kwakuwa najua nijinsi gani mtu anavyoweza kutumiwa,sikutengana na Mahimbo leo wala mwaka jana,nasikuanza kuishi na Dk leo.
Naomba tu mjiulize katika utaratibu wa kawaida Ndugu tunao,wachungaji tunao mbona wao wako kimya?naelewa na ninajua vitisho vyote alivyopewa mahimbo na kutengeneza habari hizi zote,Ndugu zangu tusipende kutengenezeana shutuma kwani tunajichumia dhambi za bure,USILOLIJUA NIKAMA USIKU WA GIZA
Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?
Nitasonga mbele na Kumuangalia Mungu kama Hakimu wa kweli,sitaogopa Mtu yeyeto kutoa maoni yake binafsi juu ya maisha yetu kwani hatukuyaanza leo.
Wahariri nivema mkatumia utaalamu wenu na si kutumika kama mnavyotumiwa sasa,Nililijua hili mapema sitarudi nyuma daima tutasonga mbele.
NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.NITASIMAMA KATIKA ZAMU YANGU KAMA MKE MWEMA NA HAKUNA LITAKALOHARIBIKA,KWANI NINAYAWEZA YOTE KWAKE YEYE ANAYENITIA NGUVU.Efeso 4:13
Najua jambo moja tu,mipango ya Mungu si kama mipango ya wanadamu.na ndiyomaana ametupa ujasiri wa kujiweka wazi bila kuogopa shutuma zozote.
meaning???Josephine kila nikicheck nakuona upo online say some « Previous Topic | Next Topic »
Topic Information
Users Browsing this Topic
There are currently 76 users browsing this thread. (23 members and 53 guests)
- paulss
- Kiby
- Mlalahoi
- Jmpambije
- Mkulima
- Mafuluto
- kaburunye
- Baija Bolobi
- reyes
- Ilulu
- emt
- Kishaju
- BRIA
- Interested Observer
- wamlaga
- WomanOfSubstance
- Josephine
- Kiraka
- Compaq
- Libasket b
- Ami
thing
Sina chuki binafsi na Dr slaa .Dr si mtaalamu na mambo ya siasa kwasana historia yake imebobea kanisani na hatutaki kugusa huko, ndio maana tunahiji uadilifu wake tuFinally,umejidhihirisha kuwa tatizo lako sio ishu ya Josephine au masuala ya kifamilia bali ni mtizamo wako wa kiitikadi.Ni wapi Dkt Slaa alisema yeye ni malaika?Hata angekuwa na jipya ungeliona wakati nafsi yako imetawaliwa na chuki pamoja na hofu ya hatma ya mafisadi wenzenu?Uhuni huo wa Dkt Slaa ni kwa vile kaweka masuala yake ya kifamilia hadharani au alishatembea na wewe pia?
Looks like hili suala kwako ni personal zaidi kuliko of public interest kama ulivyojaribu ku-argue mwanzoni.I suspect kuwa baadhi yenu ni akinamama mliotaka nafasi ya Josephine iwe yenu lakini ndio hivyo tena.
POLENI.
:confused2:meaning???
Inabidi sasa tuwe tuna hit penyewe maana tunazunguka mbali sana hawa jamaa hawaelewi kuwa wanatumika wenye nazo wako Masaki na Osterbay wakipulizwa upepo wa bahari.Kubwa tunaloweza kufanya ni kuwaonea huruma kwa vile mnatumika kama condom.
Najaribu kuhisi kuwa next move, huyu jamaa (ex-husband) atakuwa pumped aende mahakamanikudai kunyang'anywa mke na vyombo vya habari (TBC & Habari Leo) wataifanya hii kuwa TOP news.
Hapa ndipo ninapoikubali JF, Kuna member mmoja alikuja jamvini akaeleza hii habari ya media kutumika kumchafua Slaa, na akaenda mbali kudai kuwa ni mpango rasmi ambao Dola itahusika na kuusimamia, yeye akatabiri magazeti ya Habari corporation kutumika. Wengine hatukumsikiliza tukihisi ni porojo, but the informer was right.
Naona jamaa walichange plan na kuitumia Habari Leo kusamabaza udaku na kuandika negative kwa hari za Slaa.
Mods, ile thread kama bado ipo naomba muirudishe, tumwulize yule mwenzetu what will come next baada ya hili la Ndoa.
Naanza ku connect dots.... ICHONDI katutahadharisha kuwa inawezekana this is not the real Josephine amepandikizwa ili atuvuruge wapate habari ya kuandika kwenye magazeti kesho, sasa huyu paulss anapomwambia say some.....thing kwa kujificha ficha kwenye michongoma ??????????????Josephine kila nikicheck nakuona upo online say some « Previous Topic | Next Topic »
Topic Information
Users Browsing this Topic
There are currently 76 users browsing this thread. (23 members and 53 guests)
- paulss
- Kiby
- Mlalahoi
- Jmpambije
- Mkulima
- Mafuluto
- kaburunye
- Baija Bolobi
- reyes
- Ilulu
- emt
- Kishaju
- BRIA
- Interested Observer
- wamlaga
- WomanOfSubstance
- Josephine
- Kiraka
- Compaq
- Libasket b
- Ami
thing
Wakati anataja List of shame alikuwa ni mtaalamu wa nini leo kwa vile anagombea urais si mtaalamu, kwa nini hamuwi straight mnakuja mmepinda pinda? au na wewe ni kati ya wale wanaotumiwa kama k...........Sina chuki binafsi na Dr slaa .Dr si mtaalamu na mambo ya siasa kwasana historia yake imebobea kanisani na hatutaki kugusa huko, ndio maana tunahiji uadilifu wake tu
mkuu sjajificha ficha ni utaalamu mdodo wa kucheza na komyutaNaanza ku connect dots.... ICHONDI katutahadharisha kuwa inawezekana this is not the real Josephine amepandikizwa ili atuvuruge wapate habari ya kuandika kwenye magazeti kesho, sasa huyu paulss anapomwambia say some.....thing kwa kujificha ficha kwenye michongoma ??????????????
nirahisi kujua yai bovu lakini nivigumu kulitaga yai zuri. urais bado kidogo avumilie kama jk alivyofanya baadae labdaWakati anataja List of shame alikuwa ni mtaalamu wa nini leo kwa vile anagombea urais si mtaalamu, kwa nini hamuwi straight mnakuja mmepinda pinda? au na wewe ni kati ya wale wanaotumiwa kama k...........
Unajua Sheria za Ndoa zinasemaje? Mbona Mkapa aliishi na Mke wa Mtu Ikulu kwa Miaka Kumi?
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ph-kulangwa-habari-leo-sasa-ni-zamu-yako.html
Ndugu wana JF,
Nimekuwa nikisoma nakufatilia trend zote zilizokuwa zinanihusu,naomba kuwashukuru wote mlioweza kutoa maoni ambayo yamewajenga wengi wanaopitia mtandao huu,leo nimeamua kuvunja ukimya na kujiunga na wana JF ili inapotakika basi mniulize mwenyewe kuliko kusikiliza watu wachache wenye ajenda zao binafsi.Mimi ndiye Josephine Mushumbusi.Sijawahi kuongea au kuulizwa chochote juu ya maisha yangu binafsi vyombo hivi nya habari vimekuwa vikiandika mengi juu yangu leo,sitashangaa sana kwakuwa hilo ni lengo lao.
Ndugu wanaJF,kwa wanaojua maisha ya ndoa,watakubaliana na mimi ndoa ni ya watu wawili ndoa haielezewi mahali pa wazi,ndoa ni ndani ya chumba chenu,watu wengi wamehukumu hasa wanapotazama maadili ya ndoa za kikristo,
mimi ni mkristu na nimejifunza Biblia vizuri,Lakini ni biblia hiyohiyo imetoa ruhusa kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa sababu ya msingi sana.
napenda niwaeleze,mtasoma mambo mengi,mimi ninao moyo mkuu kwakuwa najua nijinsi gani mtu anavyoweza kutumiwa,sikutengana na Mahimbo leo wala mwaka jana,nasikuanza kuishi na Dk leo.
Naomba tu mjiulize katika utaratibu wa kawaida Ndugu tunao,wachungaji tunao mbona wao wako kimya?naelewa na ninajua vitisho vyote alivyopewa mahimbo na kutengeneza habari hizi zote,Ndugu zangu tusipende kutengenezeana shutuma kwani tunajichumia dhambi za bure,USILOLIJUA NIKAMA USIKU WA GIZA
Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?
Nitasonga mbele na Kumuangalia Mungu kama Hakimu wa kweli,sitaogopa Mtu yeyeto kutoa maoni yake binafsi juu ya maisha yetu kwani hatukuyaanza leo.
Wahariri nivema mkatumia utaalamu wenu na si kutumika kama mnavyotumiwa sasa,Nililijua hili mapema sitarudi nyuma daima tutasonga mbele.
NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.NITASIMAMA KATIKA ZAMU YANGU KAMA MKE MWEMA NA HAKUNA LITAKALOHARIBIKA,KWANI NINAYAWEZA YOTE KWAKE YEYE ANAYENITIA NGUVU.Efeso 4:13
Najua jambo moja tu,mipango ya Mungu si kama mipango ya wanadamu.na ndiyomaana ametupa ujasiri wa kujiweka wazi bila kuogopa shutuma zozote.
Acha kuzuga watu
Kanisa halivunji ndoa, lina weza kuwaruhusu wana ndoa kuishi kwa utengano kwa mda, kutokana na sababu za usalama nk. Acha kuidanganya nafsi yako.
Nimeshakujua wewe ni kati ya wanaotumiwa kama ko............. nakutupwa.nirahisi kujua yai bovu lakini nivigumu kulitaga yai zuri. urais bado kidogo avumilie kama jk alivyofanya baadae labda