Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ph-kulangwa-habari-leo-sasa-ni-zamu-yako.html
Ndugu wana JF,
Nimekuwa nikisoma nakufatilia trend zote zilizokuwa zinanihusu,naomba kuwashukuru wote mlioweza kutoa maoni ambayo yamewajenga wengi wanaopitia mtandao huu,leo nimeamua kuvunja ukimya na kujiunga na wana JF ili inapotakika basi mniulize mwenyewe kuliko kusikiliza watu wachache wenye ajenda zao binafsi.Mimi ndiye Josephine Mushumbusi.Sijawahi kuongea au kuulizwa chochote juu ya maisha yangu binafsi vyombo hivi nya habari vimekuwa vikiandika mengi juu yangu leo,sitashangaa sana kwakuwa hilo ni lengo lao.
Ndugu wanaJF,kwa wanaojua maisha ya ndoa,watakubaliana na mimi ndoa ni ya watu wawili ndoa haielezewi mahali pa wazi,ndoa ni ndani ya chumba chenu,watu wengi wamehukumu hasa wanapotazama maadili ya ndoa za kikristo,
mimi ni mkristu na nimejifunza Biblia vizuri,Lakini ni biblia hiyohiyo imetoa ruhusa kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa sababu ya msingi sana.
napenda niwaeleze,mtasoma mambo mengi,mimi ninao moyo mkuu kwakuwa najua nijinsi gani mtu anavyoweza kutumiwa,sikutengana na Mahimbo leo wala mwaka jana,nasikuanza kuishi na Dk leo.
Naomba tu mjiulize katika utaratibu wa kawaida Ndugu tunao,wachungaji tunao mbona wao wako kimya?naelewa na ninajua vitisho vyote alivyopewa mahimbo na kutengeneza habari hizi zote,Ndugu zangu tusipende kutengenezeana shutuma kwani tunajichumia dhambi za bure,USILOLIJUA NIKAMA USIKU WA GIZA
Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?
Nitasonga mbele na Kumuangalia Mungu kama Hakimu wa kweli,sitaogopa Mtu yeyeto kutoa maoni yake binafsi juu ya maisha yetu kwani hatukuyaanza leo.
Wahariri nivema mkatumia utaalamu wenu na si kutumika kama mnavyotumiwa sasa,Nililijua hili mapema sitarudi nyuma daima tutasonga mbele.
NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.NITASIMAMA KATIKA ZAMU YANGU KAMA MKE MWEMA NA HAKUNA LITAKALOHARIBIKA,KWANI NINAYAWEZA YOTE KWAKE YEYE ANAYENITIA NGUVU.Efeso 4:13
Najua jambo moja tu,mipango ya Mungu si kama mipango ya wanadamu.na ndiyomaana ametupa ujasiri wa kujiweka wazi bila kuogopa shutuma zozote.
Wou! wou! wou! Josephine, Big up.
Tena nakushauri sana, usiseme lolote baya juu ya Mahimbo. Mheshimu na kumtunza Mahimbo. Mwache yeye atumiwe na CCM na mwisho wa siku watamtupa kama Toilet paper. Kama hajui namna ya kutumiwa amtafute Angelina aliyekuwa mke wa Lyatonga Mrema (Kama bado yuko hai). Ndoa ni makubaliano ya wawili wenye mapenzi. Mapenzi yakiisha, yanabaki mazoea tu.
Na kwa kuwa umefungua pazia, tunawataka sasa nyumba ndogo zote za Kikwete zije JF na kujieleza. Josephine si nyumba ndogo ni mchumba na ametambulishwa mbele ya majukwaa. Tunamtaka Salma aje hapa atueleze kwa nini anamchukia Shy...., Chi....., n.k
Kwa ama hakika kama kweli wewe ndiye basi umechagua jukwaa sahihi litakalo kupa kila aina ya sapoti, na yeyote atakaye kuhoji atasakamwa kama nyukiSource: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ph-kulangwa-habari-leo-sasa-ni-zamu-yako.html
Ndugu wana JF,
Nimekuwa nikisoma nakufatilia trend zote zilizokuwa zinanihusu,naomba kuwashukuru wote mlioweza kutoa maoni ambayo yamewajenga wengi wanaopitia mtandao huu,leo nimeamua kuvunja ukimya na kujiunga na wana JF ili inapotakika basi mniulize mwenyewe kuliko kusikiliza watu wachache wenye ajenda zao binafsi.Mimi ndiye Josephine Mushumbusi.Sijawahi kuongea au kuulizwa chochote juu ya maisha yangu binafsi vyombo hivi nya habari vimekuwa vikiandika mengi juu yangu leo,sitashangaa sana kwakuwa hilo ni lengo lao.
Ndugu wanaJF,kwa wanaojua maisha ya ndoa,watakubaliana na mimi ndoa ni ya watu wawili ndoa haielezewi mahali pa wazi,ndoa ni ndani ya chumba chenu,watu wengi wamehukumu hasa wanapotazama maadili ya ndoa za kikristo,
mimi ni mkristu na nimejifunza Biblia vizuri,Lakini ni biblia hiyohiyo imetoa ruhusa kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa sababu ya msingi sana.
napenda niwaeleze,mtasoma mambo mengi,mimi ninao moyo mkuu kwakuwa najua nijinsi gani mtu anavyoweza kutumiwa,sikutengana na Mahimbo leo wala mwaka jana,nasikuanza kuishi na Dk leo.
Naomba tu mjiulize katika utaratibu wa kawaida Ndugu tunao,wachungaji tunao mbona wao wako kimya?naelewa na ninajua vitisho vyote alivyopewa mahimbo na kutengeneza habari hizi zote,Ndugu zangu tusipende kutengenezeana shutuma kwani tunajichumia dhambi za bure,USILOLIJUA NIKAMA USIKU WA GIZA
Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?
Nitasonga mbele na Kumuangalia Mungu kama Hakimu wa kweli,sitaogopa Mtu yeyeto kutoa maoni yake binafsi juu ya maisha yetu kwani hatukuyaanza leo.
Wahariri nivema mkatumia utaalamu wenu na si kutumika kama mnavyotumiwa sasa,Nililijua hili mapema sitarudi nyuma daima tutasonga mbele.
NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.NITASIMAMA KATIKA ZAMU YANGU KAMA MKE MWEMA NA HAKUNA LITAKALOHARIBIKA,KWANI NINAYAWEZA YOTE KWAKE YEYE ANAYENITIA NGUVU.Efeso 4:13
Najua jambo moja tu,mipango ya Mungu si kama mipango ya wanadamu.na ndiyomaana ametupa ujasiri wa kujiweka wazi bila kuogopa shutuma zozote.
=======Asante sana Baija Bolobi,
Kwa nini usipeleke facts zako kwa hii in blue kule kwenye thread ya: KIKWETE: In Black And White?
Baija Bolobi ungemalizia Shy..............na Chi............ungekata mzizi wa fitina.Wou! wou! wou! Josephine, Big up.
Na kwa kuwa umefungua pazia, tunawataka sasa nyumba ndogo zote za Kikwete zije JF na kujieleza. Josephine si nyumba ndogo ni mchumba na ametambulishwa mbele ya majukwaa. Tunamtaka Salma aje hapa atueleze kwa nini anamchukia Shy...., Chi....., n.k
aluta continuaKwa ama hakika kama kweli wewe ndiye basi umechagua jukwaa sahihi litakalo kupa kila aina ya sapoti, na yeyote atakaye kuhoji atasakamwa kama nyuki
mimi naomba kama upo tayari tukuulize maswli ywtu utuweke sawa ambao hatujui vizuri hii issue nzima ukizingatia wewe ndio muhusika mkuu
Kwa ama hakika kama kweli wewe ndiye basi umechagua jukwaa sahihi litakalo kupa kila aina ya sapoti, na yeyote atakaye kuhoji atasakamwa kama nyuki
mimi naomba kama upo tayari tukuulize maswli ywtu utuweke sawa ambao hatujui vizuri hii issue nzima ukizingatia wewe ndio muhusika mkuu
Wou! wou! wou! Josephine, Big up.
Tena nakushauri sana, usiseme lolote baya juu ya Mahimbo. Mheshimu na kumtunza Mahimbo. Mwache yeye atumiwe na CCM na mwisho wa siku watamtupa kama Toilet paper. Kama hajui namna ya kutumiwa amtafute Angelina aliyekuwa mke wa Lyatonga Mrema (Kama bado yuko hai). Ndoa ni makubaliano ya wawili wenye mapenzi. Mapenzi yakiisha, yanabaki mazoea tu.
Na kwa kuwa umefungua pazia, tunawataka sasa nyumba ndogo zote za Kikwete zije JF na kujieleza. Josephine si nyumba ndogo ni mchumba na ametambulishwa mbele ya majukwaa. Tunamtaka Salma aje hapa atueleze kwa nini anamchukia Shy...., Chi....., n.k
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ph-kulangwa-habari-leo-sasa-ni-zamu-yako.html
Ndugu wana JF,
Nimekuwa nikisoma nakufatilia trend zote zilizokuwa zinanihusu,naomba kuwashukuru wote mlioweza kutoa maoni ambayo yamewajenga wengi wanaopitia mtandao huu,leo nimeamua kuvunja ukimya na kujiunga na wana JF ili inapotakika basi mniulize mwenyewe kuliko kusikiliza watu wachache wenye ajenda zao binafsi.Mimi ndiye Josephine Mushumbusi.Sijawahi kuongea au kuulizwa chochote juu ya maisha yangu binafsi vyombo hivi nya habari vimekuwa vikiandika mengi juu yangu leo,sitashangaa sana kwakuwa hilo ni lengo lao.
Ndugu wanaJF,kwa wanaojua maisha ya ndoa,watakubaliana na mimi ndoa ni ya watu wawili ndoa haielezewi mahali pa wazi,ndoa ni ndani ya chumba chenu,watu wengi wamehukumu hasa wanapotazama maadili ya ndoa za kikristo,
mimi ni mkristu na nimejifunza Biblia vizuri,Lakini ni biblia hiyohiyo imetoa ruhusa kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa sababu ya msingi sana.
napenda niwaeleze,mtasoma mambo mengi,mimi ninao moyo mkuu kwakuwa najua nijinsi gani mtu anavyoweza kutumiwa,sikutengana na Mahimbo leo wala mwaka jana,nasikuanza kuishi na Dk leo.
Naomba tu mjiulize katika utaratibu wa kawaida Ndugu tunao,wachungaji tunao mbona wao wako kimya?naelewa na ninajua vitisho vyote alivyopewa mahimbo na kutengeneza habari hizi zote,Ndugu zangu tusipende kutengenezeana shutuma kwani tunajichumia dhambi za bure,USILOLIJUA NIKAMA USIKU WA GIZA
Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?
Nitasonga mbele na Kumuangalia Mungu kama Hakimu wa kweli,sitaogopa Mtu yeyeto kutoa maoni yake binafsi juu ya maisha yetu kwani hatukuyaanza leo.
Wahariri nivema mkatumia utaalamu wenu na si kutumika kama mnavyotumiwa sasa,Nililijua hili mapema sitarudi nyuma daima tutasonga mbele.
NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.NITASIMAMA KATIKA ZAMU YANGU KAMA MKE MWEMA NA HAKUNA LITAKALOHARIBIKA,KWANI NINAYAWEZA YOTE KWAKE YEYE ANAYENITIA NGUVU.Efeso 4:13
Najua jambo moja tu,mipango ya Mungu si kama mipango ya wanadamu.na ndiyomaana ametupa ujasiri wa kujiweka wazi bila kuogopa shutuma zozote.
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ph-kulangwa-habari-leo-sasa-ni-zamu-yako.html
Ndugu wana JF,
Nimekuwa nikisoma nakufatilia trend zote zilizokuwa zinanihusu,naomba kuwashukuru wote mlioweza kutoa maoni ambayo yamewajenga wengi wanaopitia mtandao huu,leo nimeamua kuvunja ukimya na kujiunga na wana JF ili inapotakika basi mniulize mwenyewe kuliko kusikiliza watu wachache wenye ajenda zao binafsi.Mimi ndiye Josephine Mushumbusi.Sijawahi kuongea au kuulizwa chochote juu ya maisha yangu binafsi vyombo hivi nya habari vimekuwa vikiandika mengi juu yangu leo,sitashangaa sana kwakuwa hilo ni lengo lao.
Ndugu wanaJF,kwa wanaojua maisha ya ndoa,watakubaliana na mimi ndoa ni ya watu wawili ndoa haielezewi mahali pa wazi,ndoa ni ndani ya chumba chenu,watu wengi wamehukumu hasa wanapotazama maadili ya ndoa za kikristo,
mimi ni mkristu na nimejifunza Biblia vizuri,Lakini ni biblia hiyohiyo imetoa ruhusa kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa sababu ya msingi sana.
napenda niwaeleze,mtasoma mambo mengi,mimi ninao moyo mkuu kwakuwa najua nijinsi gani mtu anavyoweza kutumiwa,sikutengana na Mahimbo leo wala mwaka jana,nasikuanza kuishi na Dk leo.
Naomba tu mjiulize katika utaratibu wa kawaida Ndugu tunao,wachungaji tunao mbona wao wako kimya?naelewa na ninajua vitisho vyote alivyopewa mahimbo na kutengeneza habari hizi zote,Ndugu zangu tusipende kutengenezeana shutuma kwani tunajichumia dhambi za bure,USILOLIJUA NIKAMA USIKU WA GIZA
Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?
Nitasonga mbele na Kumuangalia Mungu kama Hakimu wa kweli,sitaogopa Mtu yeyeto kutoa maoni yake binafsi juu ya maisha yetu kwani hatukuyaanza leo.
Wahariri nivema mkatumia utaalamu wenu na si kutumika kama mnavyotumiwa sasa,Nililijua hili mapema sitarudi nyuma daima tutasonga mbele.
NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.NITASIMAMA KATIKA ZAMU YANGU KAMA MKE MWEMA NA HAKUNA LITAKALOHARIBIKA,KWANI NINAYAWEZA YOTE KWAKE YEYE ANAYENITIA NGUVU.Efeso 4:13
Najua jambo moja tu,mipango ya Mungu si kama mipango ya wanadamu.na ndiyomaana ametupa ujasiri wa kujiweka wazi bila kuogopa shutuma zozote.
Maaaama Mama Mamaaaaaaa,Mama huyoooo Mamaaaaa Mama huyooo Mamaaaa Mama huyooo Mama Li Mamaa hiloooooh!!!Karibu,Na ndiyomaana nimejiweka wazi.nimejifunza mengi kwa kuwa huru na muwazi,Sipendi kuwa mtumwa wa maisha yangu mwenyewe.Mimi ni mke wa kiongozi na si kiongozi kama sitakuwa huru sitaweza kumtia moyo mwenzangu.Naelewa mengi yanakuja maisha yangu hayatakuwa siri tena.
Acha uwongo wako na huyo Mungu wako. Ungekuwa kweli unataka faraja ya moyo usingethubutu kwenda Dodoma Kinyemera kumfuata Slaa huku ukiaga familia yako kuwa unaenda kikazi!. Wala usingewaacha wanao nyumbani na kwenda kujirusha na Slaa kule Mtongani na baadaye kurudi kwa mmeo. Umetenda dhambi kubwa sana. NInachojua mimi na huko nako ulikoenda faraja itakuishia muda si mrefu utaitafuta pengine. Shauri yako na kesha ukiomba.
Kwa JOSEPHINE
Nimatumaini yangu wewe uliye post kwa jia la Josephine bado upo online,
Kama kweli wewe ndio Josephine naomba sana tumia nafasi hii kutoa ufafanuzi wa jambo hili na mumeo, maswali mengi watu wanajiuluza hayana majibu, na kukaa kwenu kimya au kutoa tamko kama ulilolitoa halikidhi hata kidogo, hebu uelezee uma upime ukweli na uongo
=======
Nipe hiyo thread Superman
Mbona wewe mke wako ni sandakalawe hatusemi ni PM nikupe namba yake ya simu. Tatizo lako hujui mtu unayemtetea ana ugonjwa ule mkuu unamtafuna ndani kwa ndani anaishi kwa Probability.Acha uwongo wako na huyo Mungu wako. Ungekuwa kweli unataka faraja ya moyo usingethubutu kwenda Dodoma Kinyemera kumfuata Slaa huku ukiaga familia yako kuwa unaenda kikazi!. Wala usingewaacha wanao nyumbani na kwenda kujirusha na Slaa kule Mtongani na baadaye kurudi kwa mmeo. Umetenda dhambi kubwa sana. NInachojua mimi na huko nako ulikoenda faraja itakuishia muda si mrefu utaitafuta pengine. Shauri yako na kesha ukiomba.