Mke wa babu................!!!!!!!!!!

Mke wa babu................!!!!!!!!!!

Vitu vingine si vya kuomba ushauri! Hivi huyo ni mkeo?
Wenzako wana nasa we unaomba ushauri wa kugonoka na mke wa mtu!

Na kushauri umuache tuuu!
 
Hivi we kijana, unatafuta laana au ndio kusema mshipa wako wa haya ulishakukatika wakati unavunja ungo...
Kuota tu nywele za kwapa basi unajisikia kuchomeka chomeka kila mahali hilo jongoo lako...
Eenh ukishamfanya bibi mwenye kupenda vijana nini kifuate? uingie kwenye Guiness World Book of Records au?
 
mkuu anajileta yeye mwenyewe tena kwa mambo ya kingono haswa na hivi mashaallah kajaaliwa kijungu ndo kabisaaa akipita hapo ni kujitingisha tuu mpaka kero

Kama anajipitisha mwenyewe msamehe bure, tukio kama hilo linaweza kukuchafulia jina na kukuharibia mustakabali wa maisha yako yajayo endapo mambo yatavuja na babu ataamua kutumia hii teknolojia mpya ya kunasa! Mpotezee huyo bibi mwana!
 
Back
Top Bottom