Mke VS Mume

Mke VS Mume

NNYAMBALA

Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
85
Reaction score
12
kuna Jamaa ameoa, cku moja waligombana sana kiasi cha kutoongea.Ilipofika ucku walilala, lakini Jogoo wa Jamaa akawa anataka kupanda, shida ikawa atamwambiaje Mkewe, basi Jogoo akawa anapaluapalua, kumbe Mke naye anataka lakini ikawa ni jinsi gani ya kumwambia mumewe. Baadaye Mke uzalendo ukamshinda, akamwambia Mumewe CC ndiyo tumegombana lakini hao wenyewe hawajangomba tuwaache waendelee kucheza.
 
tam kchizi hyo.kuliko hata ile mnayokua mko kwa furaha.
 
hahahahahahaha!!!!!mchezo wa wakubwa hauna mbabe!!
 
Back
Top Bottom