Safari yangu ya kuelekea Uganda imekaribia na licha ya kujifunza humu kuwa kuna fursa nzuri ya biashara kule nimeona nikatafute mke mwema huko nirejee naye Tz niagane na ubachela.
Si kwamba kwetu sijaona, la hasha nataka! Kuchanganya damu. Wataalam kuna shida ya kuvusha mke mpakani au nikioa si automatically anakua mtz.
Safari yangu ya kuelekea Uganda imekaribia na licha ya kujifunza humu kuwa kuna fursa nzuri ya biashara kule nimeona nikatafte mke mwema huko nirejee naye Tz niagane na ubachela,Sikwamba kwetu sijaona lahasha nataka kuchanganya damu.....Wataalam kuna shida ya kuvusha mke mpakani? au nikioa si automatically anakua mtz....tueleweshane nivute jiko wakuu seriously
Waganda ni wakarimu sana,sema ni watu wanaopenda kuishi kwao,....kuhusu kuvuka mpakani,haina shida as long as ana Valid Uganda Passport,yellow fever card na covid-19 Vaccine card.