Mke raha jamani

Ukifikia umri wa uzee kama wangu, utaenjoy zaidi! Just be faithful to each other and God help you!
 

Umeona ee,humu mwenzangu hawataki kuskia mazuri ya ndoa.Ukionesha kwamba ndoa ina raha wanaanza kukutabiria mabaya.Hivi furaha ya watu ni ndoa kuvunjika eti.Mungu azidi kutupigania wanandoa wote.
 
Hivi wewe unamuombaga msamaha au unamnunulianulia vituu hata usivyotakaga kununua?
 
Umeona ee,humu mwenzangu hawataki kuskia mazuri ya ndoa.Ukionesha kwamba ndoa ina raha wanaanza kukutabiria mabaya.Hivi furaha ya watu ni ndoa kuvunjika eti.Mungu azidi kutupigania wanandoa wote.
Amen mpendwa,
 
sasa wasiwasi wa nini sasa ndoa ni kutimia akili za kichwani na kuipeleka kama biblia inavyotuambia kwamba mwanaume ni kichwa cha nyumba na mkewe amheshimu baasi ila mkiingiza maigizo ya filum za kikorea lazima muone ngumu
 
subiri bado muda wa kulia

Hhahahaha ukiwa negative lazima upate impact yake coz utaishi kwa kijiahami ila ukiwa huru baasi mambo yatakuwa murua uwazi na ukweli ndani ya ndoa ni muhimu sana na kuacha maigizo ndoa nyingi sasa hivi zinavunjiaka coz ya kuiga
 
Afadhali hata leo nimekutana na thread ya raha za ndoa, maana humu kila siku ni majanga tu.

Hongera sana mkuu na Mungu azidi kuwapigania iwe raha daima.
 

Hiii kawaida sana kwenye ndoa hahahahahahahhhh
 

Kweli kabisa mkuu!!!,huyu jamaa ameegemea upande mmoja tu.
 
AH WAPI! mi mwenyewe kishanuka huko ndo maana nimejikuta tu Hapa jf usiku wote huu,
baada ya muda mfupi utakuja na part 2 ya uzi huu itaKAyosomeka
SIOI TENA!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…