concrete15
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 882
- 323
Napenda kuwaasa wale ambao hamjaoa muoe muone jinsi maisha ya ndani ya ndoa yalivyo matamu manaishi kama watoto wadogo vile hahahahahah.
Mpaka muda mwingine najikuta nacheka na mapenzi kwa mke wangu ndo kwanza wanaongezeaka daily.
Tunagombana mke ananua kitandani mnabembelezana mambo yanaenda dah!
Unakasirika unaombwa msamaha mambo yanaenda kama kawaida.
Nakanusha ule usemi wa ndoa ndoano.