Wewe Kongosho,Huwezi kulinganisha ndoa na huo upuuzi wa nje. Kwenye ndoa watu wanatafuta optimum utility wakati huko nje ni kusaka maximum returns. Unadhani demands ziko sawa?Hebu jaribu uwapeleke watoto out for dinner halafu uwambie kuwa menu ni ugali na maharage tena yale mekundu uone kama hawajakususia misosi yako!Noana watu wote wamekana ni taboo kujihusisha mambo haya.Hivi kweli, hakuna watu wa ndoa wanaotafuta mipango ya kando kwa ajili ya manjonjo kama haya?
Wewe Kongosho,Huwezi kulinganisha ndoa na huo upuuzi wa nje. Kwenye ndoa watu wanatafuta optimum utility wakati huko nje ni kusaka maximum returns. Unadhani demands ziko sawa?Hebu jaribu uwapeleke watoto out for dinner halafu uwambie kuwa menu ni ugali na maharage tena yale mekundu uone kama hawajakususia misosi yako!
he he he, nimeelimika kweli hili
hapa nafanya mazowezi.
Ila mifupa migumu kama nini.
Haswaa! hapaswi kuniwekea kikwazo chochote.
Ahsante sana mkuu Asprin kwa kutembelea pande hii!
Labda ni uzee au ujinga wangu..
Kwangu mie, mke ni kitu special kabisa...Hawezi kukupatia watoto wazuri na wajukuu halafu ukamdai vitu vya ajabu ajabu! Ni sawa na kuombe supu ya kiti moto kwa Shekh....not fair at all.
Anyway...Hiyo package ya The Boss sijawahi kuitamani na wala siihitaji....!!
Babu DC!!
Umeona Dena Amsi,
Muda si mrefu tutasema ni kitafunio....
Kama kila mtu ni kiburudisho cha mwenzake (iwe ni pombe, chai au coke) sitajali!!
Babu DC!!
kwani mke si kideo cha mume and vice versa ?
Mkuu DC unaniangusha aisee
ndo maana thread iko kama swali
sio kama nahubiri hii ni sahihi
i simply ask ili watu wapate michango yote tofauti
ningekuwa believer nisingeuliza
DC hebu soma thread yote
uone na mchango ya wadada yoote
upate picha
hii kitu ni very interesting ukisikia wadada wanavyozungumza
definition ya mke na mume inaenda na maana tofauti kwa watu tofauti
Nimesoma kila kitu mkuu na ninaelewa dilema unayopresent The Boss,
Haya ma vitu kweli yanatishia uhai wa ndoa zetu, especially zile za 1947...
Hata wadau waliochangia kuwa wako tayari kujifunza, bado wamekuwa na doubt kama kweli wanaweza kutoa hiyo huduma na ikawa endelevu!!
Na tatizo la haya mambo ni kwamba yanawezekana pale starehe inapokuwa ya muda mfupi kuliko katika mazingira ambayo huduma/burudani inayohidajika ni ile ambayo ni endelevu.
Babu DC!!
Nashkuru umeiona hii dilemma..
zamani 'heshima' ilikuwa ndo kipaumbele kwenye ndoa
siku hizi 'kuridhishana' na tafsiri ya kuridhishana zinachanganya mno ndoa nyingi
Siyo tu heshima mkuu The Boss,
Kuna mambo ambayo ilikuwa ni ngumu sana hata kuhisi kwamba yanaweza kuingia kwenye ndoa.....
Haya madudu ya kutumia midomo na kuruka ukuta (ingawa wengi wetu wanalikana hili) usingeweza kuhisi kuwa yanafanywa na wanandoa..
Maadam haya yameshakuwa ya kawaida, sitashangaa kusikia hata threesome na mengine ambayo wadau walipinga vikali yakaja kuwa ya kawaida kabisa!
Bahati nzuri ni kwamba mie nitaishia kuyasikia kwa watumiaji na mashabiki!!
Babu DC!!
The Boss uko poa!i see mada tamu ajabu ila nimechelewa rafiki yangu nahisi kama nitawabore,lakini najua unaweza kunijoinisha kwa ile njia yetu ileeeeee!:bolt:Mkuu DC umeongea kama uko kichwani mwangu
watu hawataki kuongea wakati mabadiliko ni meengi mno
na mimi naona kwa kuongea ndo tunakumbushana mistari ipi isivukwe
very true kuwa mengi yanayopingwa leo yatakuwa kawaida few years later
so bora tuongee now,tusaidiane kukumbushana taboos na values
Mkuu DC umeongea kama uko kichwani mwangu
watu hawataki kuongea wakati mabadiliko ni meengi mno
na mimi naona kwa kuongea ndo tunakumbushana mistari ipi isivukwe
very true kuwa mengi yanayopingwa leo yatakuwa kawaida few years later
so bora tuongee now,tusaidiane kukumbushana taboos na values
Karibu saana..
ahsante mkuu!enhe wandugu wanasemaje kuhusu mambo ya kujiachia kunako eneo lakujidai?
kabla hujaniuliza swali let me declare interest kwanza!mimi makitu yote yanayohusisha kuridhisha mume wangu na kuridhika mi mwenywe nafanya!wen it comes to kufurahia tendo la ndoa naweza kwenda a very good kinda length i see!stripping,sucking,personalizing yu name it!,vip nipo ndani ya mstari au nimeenda chaka la mada?
nilivyo na wivu wa kuua, threesome wala haimo kwenye menu yangu,yale makitu ya nukta a.k.a jicho a.k.a kiminyio :bolt:nehi!nehi!yaliyobaki mengine yooote yooote poa!Labda tuanze na taboos zako ni zipi hapo?
nilivyo na wivu wa kuua, threesome wala haimo kwenye menu yangu,yale makitu ya nukta a.k.a jicho a.k.a kiminyio :bolt:nehi!nehi!yaliyobaki mengine yooote yooote poa!