...kwenye list yako (b4 I forget), namba 3 (threesome), niseme ukweli tu....binafsi bado sijakubaliana nayo...yaani a man, his wife wake na mwanamke mwingine?? bado bado :nono:
depending on a number of factors, "burudani" can be subjective. inategemea how a man defines "burudani" mkuu...Thanx kwa mchango
umeelewa mno mada yangu
sasa swali hapa ni hili......'mke anatosha kuwa burudani kwa mume'?
tatizo la wanandoa kuogopana. What is wrong with a nice bj, lap dance ama strip tease with your hazbend? Tunarudi.kule.kwenye 'shkamoo mume wangu'. Baada ya shkamoo kuna lapdance kweli? Im seriously considering kuweka strip pole in my bedroom,lol
...however, kwa asilimia 65 naamini "mke anatosha kuwa burudani kwa mume"
Haswaa! hapaswi kuniwekea kikwazo chochote.
yaani ni "cheating" ambayo hata wife anakuwa ameafiki. kwa culture za wenzetu baadhi wanaona pouwa. for instance utaona wenzetu wana vitu kama group relationships ambayo inaweza husisha zaidi ya watu hata wanne, it's kinda terrible if u ask me.ama a man, his wife na another man? Manake kama ni adventure tuzifanye wote. Threesome is cheating!!!!!?
ha ha haa hizo ni asilimia za imani yangu kwa hilo suala, sio za uwiano wa upatikanaji wa stareheonly 65%?!?
Na hizo 35 baba anapata wapi?
Na mwanamke anapata asilimia ngapi kwenye ndoa, 20%?
tatizo la wanandoa kuogopana. What is wrong with a nice bj, lap dance ama strip tease with your hazbend? Tunarudi.kule.kwenye 'shkamoo mume wangu'. Baada ya shkamoo kuna lapdance kweli? Im seriously considering kuweka strip pole in my bedroom,lol
tatizo la wanandoa kuogopana. What is wrong with a nice bj, lap dance ama strip tease with your hazbend? Tunarudi.kule.kwenye 'shkamoo mume wangu'. Baada ya shkamoo kuna lapdance kweli? Im seriously considering kuweka strip pole in my bedroom,lol
Kwangu nafasi ya mume wa mtu hamnaaaa! Sitaki stress za ada ya mtoto sijui, wakwe wanahitaji nauli waje, harusi ya shemeji blah! blah! blah! achia mbali risk ya kuchanwa chanwa na VIWEMBE mkifumaniwa chobingo!!!!!! Mi wangu VIJANA wasio na majukumu na Pesa ya ziada ipo ikiningoja niitumie.
Kuhusu kuwafurahisha na kuwaridhisha Wake zao ni haki kwa kweli, ukizingatia baada ya uzazi, SEXY SHAPE KUSHNEY BABUJ, Tambi tambi, nido saa nane kasorobo ya usiku, they have sacrifised a lot to start a family with you, so its fare n square UMPE EXTRA LOVE, CARE N RESPECT, Hata kama viwango vyake kwenye 6 by 6 ni F umuangalie mwanao na kumshukuru mamushka (shughuli ile ya kuleta kiumbe ni balaaaa! Nusu ya kufa)
Sio mkeo akizaa, shepu kushney unaanza kumkwepa kutoka nae out!
Mimi mume wa mtu hata iweje simpi KIDUDE for the sake of the wife!!!! Ila pesa yake naila mtanisamehe kwa hilo!.
Na yeye ana hiyo access kwenye mwili wako au?