Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

jamani labda mie nimepita kwenye vijiji vya ajabu basi ama la wazazi wangu wametulea vibaya, ila tunajiachia kwa raha zetu


Hapana dada gfsonwin...wala hakuna anayehisi kuwa unafanya mambo ya ajabu bali tunajaribu kuonesha kuwa kuna tofauti kubwa kwa jinsi tunavyofanya mambo yetu....

Ila kusema kweli nimekukubali....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Nimepapenda hapo..
Na ofcourse wewe ambaye ndie uko kwenu ndie utanijengea maconfo..
 
Kipindi cha Morgan kinarudiwa sasa hivi hewani;

'Perfect wife, extraordinary, the love of my life, the only love I have ever had';

hayo ndio maneno Shwazniger alotumia kumdescribe Maria. How sweet, I hope watarudiana.

Wajameni inabidi msishangae watu wakiwasamehe chita...ni maneno matamu wanayokuja nayo...mengine wife hakuwahi kuyasikia kipindi chote cha ndoa zao. Lol.
 
Hapana dada gfsonwin...wala hakuna anayehisi kuwa unafanya mambo ya ajabu bali tunajaribu kuonesha kuwa kuna tofauti kubwa kwa jinsi tunavyofanya mambo yetu....

Ila kusema kweli nimekukubali....!!

Babu DC!!

asante sana Babu DC.sasa ni asubuhi ngoja kwanza nijenge taifa nitarudi baadae na bonge la hoja. kazi njema na asubuhi mwananaaaaH!
 
Umeona eeh

Unasamehe huku unalia lia, ina raha yake lakini ( ila isiwe cheating jamani )

 
Khaaa!

The Boss gafla topic imegeuka, from mke kuwa kiburudisho hadi kuwa whether its okay kudo na wife ukweni...maana nimesoma pages zooote

Nilichogundua, bado saana watu tumeingia kwenye ndoa na tabooos nyingi mno. Sio kosa letu,Ni utamaduni na mapokeo

msingi wa hoja ya The Boss nauona katika changamoto ya kunadili hayo mapokeo na tamaduni zetu, ili kuweze kucompete na pengine ku cope na tamaduni za kisasa

Kwa maoni yangu nadhani kati ya mke na mume, inatakiwa wote kuwa hamuogopani au kuoneana aibu kwenye suala la sex, hasa nikinukuu alichosema mwalimu wangu snowhite na my sweetlo gfsonwin.

Kama mazingira yanarushusu....lap dance, striping, mduara, pekecha pekecha,,,,zote ruksa...ili mradi kuspice things up.....club za siku hizi mfano wana strippers na mi na mpenzi wangu hatuoni shida kwenda kuchungulia kidogo na kujipa raha mara turudipo.

sasa what is acceptable kwa couple hii,inaweza isiwe aceptable kwa couple nyingine, "we vary because we differ", naomba nilitambue hilo, na kwa maana hiyo nitambue pia michango ya wale wa 'mrengo wa kushoto' kina nyumba kubwa, babu mwenzangu Dark City, Kaunga, sweetlady, na wengineo, huku nikishukuru kwa maoni ya SnowBall, gfsonwin (my sweetlo na mdogo wake AshaDii kindoa....sasa msiulize kama tunafanyaga threesome au la), lara 1, na wengineo.
 
Last edited by a moderator:

mimi miss yu!upo?guten tag !usiendelee zaidi naibia tu hapo
 

Hii topic ilinipita nikiwa ban aloo...
Ila kiukwel inategemea, na kwa maoni yangu ni ngumu kukuta mke anamudu vitu vyote mwanaume anavyotaka kama burudani. Mimi kwa mfano, one of the best burudani kwenye sex is to sex with a stranger... My wife will never be strange to me...
 

dah kweli tumekosa mchango wa maana aisee
duh...lol
 

ha haaaa
nice observation lol
 
Kiongozi najua we have some scores to settle ourselves i see ngoja ni do ze nidiful bana. In fact ile the guide inabidi tuiprint kabisa maana naona matatizo yanaongezeka (hayahusiani na sredi hii)

Nakuelewa aisee
 
Kiongozi najua we have some scores to settle ourselves i see ngoja ni do ze nidiful bana. In fact ile the guide inabidi tuiprint kabisa maana naona matatizo yanaongezeka (hayahusiani na sredi hii)

kuna siku maji mtaita mmma nyie endeleeni tu!waone kwanza na mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…