mke na mume

mkurugenzi1

Senior Member
Joined
Mar 22, 2009
Posts
122
Reaction score
28
Mke: Mme wangu mbona siku hizi huninunulii zawadi km ilivyokuwa kabla hujanioa??
Mme: huh!! We uliona wapi mvuvi anamlisha chambo samaki ambae kashamvua??
 
hahahaha hiyo ya ukweliiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!
 
Labda hupendi shopping.mimi napenda shopping kupindukia na mume wangu anajua hilo,na alivonikuta nilikuwa kutwa shopping.Anza kushop kaa dukani mpaka duka lifungwe.utamwona tabadilika
 
Jamani kwangu kuna panya,kama vp namwomba mke wa mtu kwani 1"mke wa m2 ni sumu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…