Mke na Mume

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Mume: vipi mpenzi leo umekula nini kwani sikuacha hela ya chakula.
Mke: tumeshindia mapera na shemeji yangu mpenzi halafu mimi ndio nilipanda juu ya mti. Mume: inamana shemeji yako alibaki chini ya mti? Mke: ndio, Mume: alitaka kuangalia chupi yako mimi namjua mdogo wangu. Mke: unafikiri mimi mjinga nilimshutia nikaivua nikapanda hivyo hivyo mpenzi mimi mjanja zaidi yake....!!!
 
:laugh: :laugh: :laugh: :laugh:

..............................................
 
Yani ukita kuchek kufuli inamana unataka kucheck na pale kati so mi naona shem kafaidi kweli yani....!
 
Back
Top Bottom