Mke mwema ni yupi?


Hata mimi sijui, nadhani inabidi niweke thread mpya inayozungumzia wapare, ubahili wao na jinsi kabila zingine wanavyowachukulia
 

hivi mnatuonagaje? mbona mie nimeolewa na kapuku wa kisukuma na maisha yanaenda? tuacheni tupumue jamani.
 
hivi mnatuonagaje? mbona mie nimeolewa na kapuku wa kisukuma na maisha yanaenda? tuacheni tupumue jamani.

labda kumbatiza mtu wa uwezo wa kawaida majina kama Kapuku ndio yanaleteleza hizo streotypes.., anyway ndio maana kuna utani wa kwamba ukienda kuchumbia huko lazima watakuuliza kama una kabati la mbeho na gari la kubebea majani ya mifugo (sija-confirm lakini ndio tabia inayochukuliwa generally kwa wachagga) all in all its just fun baina ya watani wa watanzania (its what makes us close)
 
yaani nimechoka kwa kweli hivi wachaga tuna nini?? ikipta hii utaona wamachame tena wanawake aisee kweli tumewakaa mdomoni.
gfsonwin nafikiri wachangiaji wengi hapa wana wake au waume ambao ni wachagga au wana wachumba na wapenzi wachagga
So kwa upande mwingine wanapost hivi kuangalia watu watasema nini
Na wanapenda sana kuwa na wachagga ndo maana maneno au kutajwa kwa wachagga hakuishi
 
Last edited by a moderator:

sasa nimeelewa kumbe kuoa wanapenda kuaoa wachagga ama kuolewa na wachagga ama kuwa na wapenzi wachagga,
 
sasa nimeelewa kumbe kuoa wanapenda kuaoa wachagga ama kuolewa na wachagga ama kuwa na wapenzi wachagga,

Ndo manake gfsonwin wengine wanapost huku wasikie maoni ya wengine wanasemaje ili kama ana mpenzi au mchumba wa kichagga aelewe atafanya nini
Wengine wanawapenda wanawake wa Kichagga ila sasa hizo story za mtaani ndio zinawachanganya hapa so wanaangalia comments za watu hapa
 
Last edited by a moderator:
wanapenda wanawake wa kichaga sababu wanajua kutafuta pesa.....ila 6x6 = 0....wapare wazuri kwa kubana matumizi....nimesikia tu.
 
Too much information,wachaga wachache wako hivyo lakini asilimia kubwa wagomvi kama nini,sitaki hata kuwasikia agghh!
 
Wa kichaga bhana, acha nivutie kama upande wangu!!!!!
 
Blaine ni balaa tupo juu mbaya kila siku twatajwa humu
 
Last edited by a moderator:

hapana,alikuwa kapuku kabisa, hahaha hayo ni matani tu, mahari zetu za kawaida sana, debe za mbege hazikosekani, hahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…