Hiyo Amen veepeNimekuchochea wapi?
Hupendi upako?Hiyo Amen veepe
Napenda babuHupendi upako?
Nadharia na vitendo tafauti ungekuwa nadharia na vitendo ni sawa ningetafuta kwa gharama yoyote kama hujaolewa. Ila kwa kuwa najua hilo hata sioni umuhimu wa andiko lako hukuna uliwezaye hata uliyeandika huliwezi.Hizi ni sifa halisi za mwanamke wa kweli
1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume.
8. Chanzo cha baraka ya familia.
9. Adui wa maadui wa familia.
10. Sauti ya familia.
11. Mponyaji wa familia yake na taifa.
12. Mlezi wa huduma.
13. Mkombozi wa familia na taifa.
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye.
15. Mwombezi wa familia, huduma na taifa.
16. Mficha siri wa Mungu
Amen......Hallelujah
Makonda oyeeeee.......[emoji13] [emoji13]Tupo na humu tumejaa tele.
Una sifa moja iliyovuruga zote
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]mmmm mbona nyingi sanaa?
Una sifa moja iliyovuruga zote
Mhhhh we anakufaa LA super mafingers [emoji57]