Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,243
- 44,524
Mkuu MM, ukishampata Mke mwema hayo mengine yote yanakuwepo. MUNGU ni mwema hawezi kukupa mke mwema halafu hakakosa hayo mengine yote.
Mkuu anaweza sana tu maana kwa MUNGU hakuna mwenye sura tata au sura meng'enyu, wote wako sawa tummh.. kwa hiyo mke mwenye sura ya utata hawezi kuwa mwema?
mmh.. kwa hiyo mke mwenye sura ya utata hawezi kuwa mwema?
mmh.. kwa hiyo mke mwenye sura ya utata hawezi kuwa mwema?
Mwema imetulia mno na umeielezea vizuri Mzee Mwanakijiji I hope vijana wasiooa watazingatia hilo.
Mtu akikuambia mke mwema anatoka Ruvuma, na wewe uko Dsm, itakuwaje? Tatizo langu mimi ni mume mwema anatoka wapi? Manake tunajitafutia kwa kutumia checklist na ku-certify lakini .....!