Mke mwema anatoka kwa Mungu

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Mke mwema anatoka kwa Mungu na kuna njia nyingi sana ambazo Mungu anatupeleka kwa wake wema ivyo tusiwe wabishe moja ya njia ni kuachwa na mchumba wako
 
Leo hujagusa cha arusha
Naona umejitahid walau
Leo umejua kuna mungu

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Unajifariji baada ya kuachwa.... he he heeee! Jichunguze inawezekana mke alitoka kwa bwana lakini mume umetoka kwa nani sijui
 
Back
Top Bottom