Mke mvivu kitandani, nipeni dawa

Mke mvivu kitandani, nipeni dawa

Wanawake walio wengi wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali ili wapate wenzi wa maisha. Nina wasiwasi kama akina dada wanajua hasa ni kitu gani wanafuata katika ndoa. Naomba niwasilishe kilio na malalamiko ya wanaume wenzangu akiwepo mimi kuhusu uvivu wa akina mama wengi katika kutimiza jukumu lao katika ndoa.

Efficiency ya tendo la ndoa zilizo nyingi hasa baada ya honey moon au miaka mitatu tu ya kuoana imeonekana kushuka sana katika ndoa nyingi.Sababu kubwa ambazo akina mama wamekuwa wakitoa ili kukwepa kushiriki tendo hili halali katika ndoa ni Nimechoka, kichwa kinauma, niko kwenye MP, nimeona hauko kwenye mood, kuna mambo nataka tu discuss kwanza nk.

Wanaume tunafahamiana kuwa unapokuwa unahitaji hupendi hadithi na kiu hii haiwezi kutulizwa kwa kupewa maji ya kuoga ya kuandaliwa chakula kizu aui maneno matamu.Kiu ya tendo la ndoa hukatwa kwa kufanya tendo lenyewe na si vinginevyo. Tofauti na akina mama wao maneno matamu ya mume yanaweza kukata kiu kama ipo ya tendo la ndoa, kununuliwa nguo nzuri au zawadi nzuri kwa akina mama ni equivalent na tendo la ndoa. Kwa wanaume sivyo.

Madhara:
Ijulikane kwamba mwanaume(hususani aliyeoa) anapokosa huduma hii kwa frequency aliyoizoea anakuwa anapatwa na mfadhaiko /stress na wakati huo akili inashindwa kufikiri sawasawa hadi atakapokuwa relieved Madhara ya tabia hii ya uvivu ndio mwanzo mkubwa wa wanaume wengi kuchepuka na ili asijulikane nje wengi wanachepuka na mabinti wa kazi ambao wako tayari wakati wote licha ya kuwa na kazi nyingi za nyumbani.

Mimi binafsi sifagilii kabisa michepuko ya aina yoyote ila waswahili wanasema
Simba akizidiwa hula majani. Ukiwauliza wanaume wengi kwa nini wanachepuka watakwaambia after all ilikuwa involuntary baada ya mhusika mkuu wa kutoa huduma hiyo kuwa irresponsible.

Ni kitu gani tufanye au nini dawa ya kupambana na uvivu wa akina mama kitandani ili kuokoa ndoa na kupunguza michepuko.Uvivu kitandani naamini ndio source ya michepuko wala tusifikiri ni kitu kingine. Akina dada ambao hamko kwenye ndoa mnaweza changia lakini napenda kusikia kkutoka kwa wanaume na akina mama watueleze kuna tatizo gani? Matusi na kejeli haziruhusiwi kwa sababu hapa tunahitaji kupata dawa ambaoyo itatibu michepukosis
Dawa yake muolee mke mwenza. Mimi hii njia imerudisha wangu kwenye mstari, siku hizi anajituma balaa
 
Lakini mkuu mtoa mada ana hoja.
Nimechoka, mi sijisikii, unajua siku hizi umekuwa mzito sana etc. Vinachangia michepuko!
Michepuko kila mahali; kanisani, kazini, safarini, uchochoroni, nyumbani!
Dawa : Tumrudie Mungu wetu tuliyemwacha hakika hatutachepuka!

sasa aangalie source ya hizo nimechoka, sijisikii kuna nini hapo
 
Tendo la kujamiiana linatawaliwa zaidi na phycology, liko kisaicologia zaidi,ndo maana kuna wakati unashindwa kwa mkeo lakini akitokea partner mpya mambo yanajipa hadi unashangaa.

phycology issues are not in the control of the will, are envoluntary kwa hiyo mda wingi mtu huna ujanja wa kudhibiti michepuko kwa sababu ya kuwa inje ya uwezo wako. Michepuko ingekuwa kama kunywa chai mtu una uwezo wa kusema leo mimi sinywi chai.

Duh ndugu kwa nini usiandike kiswahili maana hiyo psychology yako haipo duniani
 
Kaka yangu mtoa mada nakuomba tafuta siku na mkeo mkae chini mlizungumze hilo suala before it's too late, nakuomba usichepuke, anaweza akawa na jambo linamtatiza kichwani mpaka inampelekea kuwa hivyo.
 
Mpake pilipili kwenye uke uone atakavyochangamka kitandani
 
Mhonge mkeo, mpe noti nyekundu uone alivyo mbunifu kitandani
 
Hiyo hutokea kunapokuwepo maudhi ya hapa na pale ila kikubwa ni ufanyaji wa mapenzi uliokosa msisimko huondoa kabisa hamu ya kushiriki hilo tendo.

Kwani amini nakuambia wanawake wanapenda sana sex , only they need good sex.
It takes a real man to make a woman satisfied.
Hebu jiulize ni lini Mara ya mwisho mliambiana mnapendana , mlitoka pamoja, mlipumzuka pamoja n.k
 
tofauti na kwenye heading hakuna mahali pengine ambapo umeonyesha uvivu wa mkeo kitandani

kwa tafsiri nyepesi uvivu wa mwanamke kitandani sio kutoshiriki tendo la ndoa..ni kushiriki huku akiwa reserved, hajitumi, hachangamki...she is going thru the act while unattached....hakuna mauno, hakuna miguno, hakuna mipapaso..yupo kama gogo...kuna wengine wanafikia hatua ya kwamba kidume umejikunja yeye anachat kwa cm!!!

if thats your problem with your wife dawa ipo
 
Tendo la kujamiiana linatawaliwa zaidi na phycology, liko kisaicologia zaidi,ndo maana kuna wakati unashindwa kwa mkeo lakini akitokea partner mpya mambo yanajipa hadi unashangaa.

phycology issues are not in the control of the will, are envoluntary kwa hiyo mda wingi mtu huna ujanja wa kudhibiti michepuko kwa sababu ya kuwa inje ya uwezo wako. Michepuko ingekuwa kama kunywa chai mtu una uwezo wa kusema leo mimi sinywi chai.

someone help me please..kyan find dem bolded words in my dictionary
 
Mkuu kwa upande mmoja upo sawa Lakini kwa upande mwengine hata sisi tunachangia Mkuu....tunaachia miili ovyo mpaka tunapata vitambi,tunapunguza romance (not sex) kwao,style za kubinjuka hatubadilishi yaani inakuwa routine,sehemu ya kubanjukia pia hatubadilishi n.k....baba aliniambia mkwo mchukulie kama Mchumba na sio mke hili kudumisha that spark....
 
Back
Top Bottom