Kiukweli mimi napenda sana waume za watu.
Hapa nilipo nina madonda mwili mzima shauri ya kupigwa na wake zao,lakini sikomi.
Watamu bhana,asikwambie mtu.
Hayo madonda ya kupigwa yatapona,Jiandae kupata madonda ya ukimwi ambayo utavalishwa nayo sanda!
Madame B, shikamoo!Kiukweli mimi napenda sana waume za watu.
Hapa nilipo nina madonda mwili mzima shauri ya kupigwa na wake zao,lakini sikomi.
Watamu bhana,asikwambie mtu.
hapo inamaanisha hata nimeshindwa cha kumwambia...... ndo maana nimeishia kutoa salute, lol!FP,naona umeamua kumpa saluti madam kwa mchango wake,me mwenyewe hata kuendelea nimeshindwa,watu wajasiri sana humu ndani cjui na nje ni hivhhivi au..........................................
Kiukweli mimi napenda sana waume za watu.
Hapa nilipo nina madonda mwili mzima shauri ya kupigwa na wake zao,lakini sikomi.
Watamu bhana,asikwambie mtu.
Wana jf me nakuambia msimcheke huyo dada yann me nnaeujua huo utam namsupport kabsaaa,kupata ukimwi unaweza kuupata kokote tu...ngoja niwaambie me nina mme wa mtu na tumeshapima na alishamlazimisha mkewe nae keshapima na hivi sasa tunahangaika kutafuta mchumba wa kunioa mimi ili tuibe vizuri tupate pa kubadilishia ladha.......we unasema mumewa mtu sumu hujajaribu nakuambia kamwe hutatamka hayo maneno...........acha maneno me nakuambia
....kwel cha m2 mav ukikiona kiteme mate!!!!!!!!!!!