Mke/mume uliyenaye ndiye wa ndoto zako?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Hebu sema ukweli wa moyoni mwako. Hayo mahusiano ulionayo ndiyo ulikuwa ukitamani kuwa nayo ama unasogeza siku?

Juzi kati tulikuwa watu watatu. Wanaume wawili na mwanamke mmoja. Baada ya kuongea sana mwisho wa siku tukaja kuulizana swali hili.

Ikaja kugundulika kuwa wote hatujapata watu sahihi wa ndoto zetu.

Swali kwako.

Je, umebahatika kumpata wa ndoto yako ama unasubiri subiri...
 
Kumpata wa ndoto hakuna hata kidgo
Sema tunawapata wale tulioamua kuwavumilia na wao kutuvumilia basi ili maisha yaende

Maana wa ndoto wako ni yule ambae hana kasoro wala pungufu kila sector yupo sawa jee ukimpata na yeye je wandoto wake unamjua!!?

Swali la kujiuliza
Unaweza jua ndoto ya mwenzako!?
 
Hebu sema ukweli wa moyoni mwako. Hayo mahusiano ulionayo ndiyo ulikuwa ukitamani kuwa nayo ama unasogeza siku?

Juzi kati tulikuwa watu watatu. Wanaume wawili na mwanamke mmoja. Baada ya kuongea sana mwisho wa siku tukaja kuulizana swali hili.

Ikaja kugundulika kuwa wote hatujapata watu sahihi wa ndoto zetu.

Swali kwako.

Je umebahatika kumpata wa ndoto yako ama unasubiri subiri...
Mke niliye naye si wa ndoto yangu ila ni mke aliyenipa Mungu na Malaika wake pia sijutii kuwa naye kwani ni zaidi ya yule niliyekuwa namtaka (my dream woman). Bila huyu mwanamke niliye naye sijuwi ningekuwa wapi, kwangu ni Mama yangu, Baba, best friend, msiri wangu mkubwa, yaani ni mambo yote kwangu.
 
Barikiwa mkuu
 
Hebu sema ukweli wa moyoni mwako. Hayo mahusiano ulionayo ndiyo ulikuwa ukitamani kuwa nayo ama unasogeza siku?

Juzi kati tulikuwa watu watatu. Wanaume wawili na mwanamke mmoja. Baada ya kuongea sana mwisho wa siku tukaja kuulizana swali hili.

Ikaja kugundulika kuwa wote hatujapata watu sahihi wa ndoto zetu.

Swali kwako.

Je, umebahatika kumpata wa ndoto yako ama unasubiri subiri...
She used to be, but now..... Big no
 
Mkuu hilo swali acha kabisa

Kuna msemo unasema ---- kila mwanaume katika maisha yake Ana mwanamke ambaye anampenda lakini Hajafanikiwa kumuoa
LJP kanitesa sana huyu demu, alinipa mbunye sikutaka kugonga, nikajua namuhifadhi kwa ajili ya ndoa.
Akaniorodheshea mahitaji ya mahari kwa mila na deaturi zao.
Tarehe 18/10/2020 akanipiga kibuti, bahhhh bwanawewe huku kwentu Ntwala kibuti kinauma kuliko kunyundwa na njumu ya six meno.
 
Hahaha mimi kuna binti 1 anaitwa pearl Daahh kitambo enzi za ujana alifanikiwaga sana kuzinyanyasa kuta za moyo wangu bwana weeee nilikuwa sili silali mindset yangu yote ikawa ameiteka yeye " Daahh mpaka leo huwa ninakiri kwamba sijawahi kupenda mwanamke kama jinsi ambavyo nimewahi kumpenda Yule binti
 
Back
Top Bottom