Habarini za jioni wadau.
Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami.
Yuko masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu. Ahadi tele kwakweli.
Sasa hivi juzi alirudi kutoka masomoni akaja mpaka kwangu. cha ajabu ni pale tulipokua tuanafanya mapenzi niligundua kua sehemu yake ya haja kubwa nyamanyama zake zimetokeza kwa nje. Hii ni dalili tosha kuwa alikua akiingiliwa kinyume na maumbile.Niliumia sana, nilistaajabu sana zamani hakuwa hivi. Bado nampenda sana lakini hali hii inanisikitisha, nimenyong'onyea kwa kweli. Natamani nimuulize. Lakini nashindwa.
Hebu nishaurini. Niendelee kuwa nae ama nighairi?
nimeambiwa huu mchezo mtu akishaanza hawezi kuacha.

tumia lugha ya picha
au magazijuto
JARIBU KAMA UNA........ SEHEMU YA NYUMA MKIFANYA MAPENZI ASIPO RESIST BASI TOA ENDELEA NA SEHEM YA KAWAIDA MKIMALIZA SAFARI YENU
anzia hapo mwambie saa zile nilokosea njia lakini niliona hupingi vipi tunaweza kufanya kwa njia hiyo???
hapo ndo utaelewa na atakwambia kila kitu kama ku,cancel uanzie hapo
ILA UKIJIA HASIRA NYINGI NA GHADHABU BASI UTAMPOTEZA MAANA UKIMUULIZA MOJA KWA MOJA ATAHISI UTAMUACHA
SO FIRST THING JIFANYE KAMA UNATAKA HUO UCHAFU(maana ushasema kumwambia uwezi) so hapo utatumia hesabu za milinganyo thennitajuwa wapi na nini ufanye(ila usijaribu kufanya huo mchezo)
mhhhhh kuna uwezekano ana hemorrhoids au anal fistula wewe!
Teh ...teh yani MARINDA wameyanyofoa wanyamwezi !!pole kaka ndo ukubwa huo,vipi akijamba inakuaje?linatoka gogo?
Uzungu huu jamani!!