UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hi wana JF,
Kuna jirani yangu kaoa miaka 3 iliyopita lakini mkewe anapenda kushiriki visherehe vya kimila kila wakati. Anaishi Korogwe Tanga sasa mimi nashuhudia ugomvi kila siku maana tumepanga nyumba moja.
Huyu mkewe hapitwi na visherehe hivi vinavyoitwa kuwekwa ndani na kutolewa nje ni kila mara na akienda kurudi jioni jamaa anakasirika akimwambia nyingine apotezee mwanamke mkali afanyeje.
Shauri kibusara