Mke mpe upendo, mama mpe heshima

Mke mpe upendo, mama mpe heshima

Kwa bahati mbaya bado hawawezi kupata same treatment maana ile treatment nyingine ataipata kwa baba yako!! Kwahyo mizani za hawa watu haziwezi kulingana kamwe lazma kuna sehemu utaegamia kidgo tu

Hao wanaleta hisia kwenye mambo ya kipuuzi.

Waulize mama Yao anaweza kuwazalia watoto wao wenyewe?
 
Back
Top Bottom