Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
The Boss, kumpiga mkeo, mwanao ni kumdumaza ki akili na kujenga chuki isiyo kwisha. Kama ulishawahi kupigwa na baba yako/mwl wako lazima ukikumbuka hiyo moments unamchukia. Au angalia watoto wengi walio chapwa huwa hawajiamini kabisa! Kuchapa kwa ujumla ni ujinga wa hali ya juu! ndiyo maana kuna nchi ukimchapa mtoto anakuja kuchukuliwa na state, na analelewa na familia nyingine.mkuu
chunguza sana utagundua kuna watu 'hawaendi polisi au mahakamani'
au popote pale kushtaki...
ukiwaona huko ujue wanashitakiwa na sio kushitaki
sometimes in life we choose to be victims or not.....
wote wanaopigana barabarani au kuwapiga wake zao na waume zao
wangepelekwa kushitakiwa 'pangekuwa hapatoshi'
ukifuata sheria hata kumpiga mwanao ni kosa
kuongea matusi hadharani ni kosa
akili mu kichwa....
The best way to stop smoking is to never start.
Hivi hizi ndoa za siku hizi hazina kipindi cha uchumba kuchunguzana na kujuana tabia kabla ya kuoana? Najua kuna kuficha makucha and all, lakini kama mtu ni extreme kiasi hiki chances are ata slip na kumpa mtu yeyote observant reason to pause.
Words to the wise, msikimbilie kuoa.
Kama vipi mna chill kwenye Kiranga's Club of Perpetual Bachelors for Eternal Balling.
Mazee unachosema ni kweli, ila kumbuka we are just ordinary people, we cant see the unseen, at the same time we cant predict the unpredictables! Remember that, every woman needs a man and so men does need women too!
The Boss, kumpiga mkeo, mwanao ni kumdumaza ki akili na kujenga chuki isiyo kwisha. Kama ulishawahi kupigwa na baba yako/mwl wako lazima ukikumbuka hiyo moments unamchukia. Au angalia watoto wengi walio chapwa huwa hawajiamini kabisa! Kuchapa kwa ujumla ni ujinga wa hali ya juu! ndiyo maana kuna nchi ukimchapa mtoto anakuja kuchukuliwa na state, na analelewa na familia nyingine.
We can't see the unseen, lakini huyu mke mlevi kaanza ulevi baada ya kuolewa? Mwanamme alivyochumbia alikuwa hajajua hili?
Hata kama every woman needs a man and vice versa, does every man need to marry a drunkard, sex crazed socialite?
Wanawake wa kuoa wameisha?
I feel for the brother, lakini matatizo mengine watu tunajitakia.Unaingia katika uchumba na mtu unajua ana matatizo halafu unategemea muujiza kutoka mbinguni.
Kama wake wenyewe ndio hawa siwezi kujilaumu kukataa kuoa.
mbona simple tu, analewa? anaenda kwenye matamasha? hakosi harusi!!! dat meanz ana hela za kutosha matumizi yake na matanuzi...hvyo mme ashikilie hvyo vyanzo vya mapato na mke akae ndani....asubuh aachiwe buku 3, aone ataendelea kufanya hizo mbwembwe.
Hakuwa mlevi wala mtu ma-outing! Hata kama kunywa ilikuwa a glass of wine to keep the company. Nawafahamu vizuri coz they dated for about two years consecutively, and the guy alipoamua kuoa nasi kwa sababu tulikuwa tunamfahamu binti japo kwa muonekano hakuwa na matatizo kama haya sasa. Mtu anasahau hadi mtoto wa miaka miwili jamaa inabidi awahi kumlaza mtoto? Hatari sana.
Hili nalo neno, tatizo linakuja kwamba yule ni mkewe, mpenziwe, sasa kama hamuelewi mumewe anataka nini je kuna haja ya kumnyang'anya biashara, kuficha funguo za gari nk na kumfanya mfungwa ndani ya nyumba, au dawa ni kumtimua?
katika ndoa,kuna 3 sides to any stories,upande wa mume,upande wa mke and the truth.kuna kitu kilichompelekesha huyo mke kufanya hayo yote.ila kitendo cha kutomjali hata mtoto wake is too much.na kama njia zote huyo jamaa amejaribu za kusuluhisha,asione aibu kutengana nae.maybe baadae dunia itamfunza huyo mwanamke.maisha ya stress hayafai jamani.na mwanamme akishafikia stage ya kulalamika,ujue yameshamchosha,maana wanawake ndio huwa tunapenda kulalamika