Mke malaya, nimfanyaje?

mi nina swala moja kwako. Je mkeo alitoka kwenye familia ya wazazi walioshika dini sana na wakali?
dini kwao ipo ila si kwa familia yote wengine wanajificha ktk dini ila ndio hivyo tena
 
Ushauri mzuri
 
kungekuwa hakuna ngoma..ningekushaur uwe unamtafuna 0714 daily..ila sasa maradh ndio mtihan Sheikh...mkimbize tuu huyo malaya before it's too late..tatizo kuoa wenye chura..ao ni malaya by default...coz wanasumbuliwa sana..
mungu akusamehe kula chura sio vizuri mkuu
 
Haya mambo tuwaachie wacheza film tu.
 
dini kwao ipo ila si kwa familia yote wengine wanajificha ktk dini ila ndio hivyo tena
Nilikuwa na ex mshika dini. Tule dada alikuwa anaimba kwaya kabisaaa, yaani tena praise.
Mama yake alikuwa mtumishi tena maombi mpaka ya kunena kwa lugha. Na walinifaham sababu na mm napenda maombi.
Ila mwishon nilikuja gundua yule dada ni malaya namba 1. Tena mzoefu, yaan uchaf wote anao yeye sema anafanya kwa siri sana.

Dininisikudanganye
 
May be analipa kisasi kama aliwahi kukufumania ukichepuka....cox wanawake hawanaga msamaha wa kwel akikufumania....
 
wachache wenye ufahamu wa namna hiyo wengi tunawaoa unakuta mtu kaficha mkucha yake.Kama huyu wangu hana wazazi wote washatangulia mbele ya haki alikua mpole lkn baada ya kua nae anajiona yuko sawa kupambana na mimi.Wanawake wengi ni 00000
 
Sorry wewe ni wa dhehebu gani?
 
Mungu aniepushie katika majaribu haya Kwasababu ninavyojijua defender ndio itanifata baada ya tukio kama hili.

Ukimwi unaua, cheka cheka baadae utalia na kusaga meno.
 
Mmmmmmmh nasikia mpka mwili umenisisimuka, Eeeeh mungu niepushe na hili. Mkuu pole sana
 
Yani bado hujabeba shoka tu?


STILL MESSI IS BETTER THAN RONALDO
 
Dah....mvumilie tu...ni bahati mbaya tu hiyo....sifa ya mwanaume ni uvumilivu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hapa naenda kwanza kucheki afya mungu asaidi niwe salama ndio nije kutoa maamuzi
 
Hivi unadhani ushauri gani unaoutaka wewe hapo?eti umemfukuza ila haondoki?haondoki kwako?au kwake? Naungana na anaesema umeolewa wewe...kama mnapoishi ni kwako angekua ameondoka tu...mwanamke anaeweza kutuma picha za uchi wake kwa mwanaume asie mume wake...huyo sio mwanamke...wa kumuita mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…