Mke malaya, nimfanyaje?

Umekula limbwata ,sasa ukimwacha watoto si watateseka. Dawa yake mfanyie live na wewe ili ajue uchungu na ashike adabu. Mpe mashine hasa,Kaka mridhishe halafu tafuta noti,,hawa viumbe mfuko ukipungua no love. Matatizo mengi huwa wakati mwingine tunasababisha.
 
Kambembeleze arudi kisha muangukie akusamehe, muahidi hutarudia tena kupokea simu yake ikiita [emoji106]dawa ya moto sio moto [emoji4] akirudia tena msamehe tena...akikua ataacha tu [emoji4] kwanza sawa na haluwa haina makombo [emoji106]
 
Bila shaka nawe unamtegemea kiuchumi ndo mana yupo hadi sasa hivi pole ukiweza kujitegemea kiuchumi bila ya yeye natumai hatukuwepo tena maishani mwako
 
Mkuu wewe ni mvulana au mwanaume?anakujibuje kirahisi hivo eti "nmemfukuza ila hatak"umeolewaa?
 
transition period[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmechekaaaa sana kipnd hiki tegemea vitu kama njaaa,kujiua,usaliti,vibom malizia nawewe
 
Pole
 
Nakupa ushauri huu ambao niliutumia mimi na nikasaidika sana" Kaza moyo wako, Usimsalimie wala usiitikie salam yake, Hata kusemezana nae usisubutu,, kuwa Bubu muda wote kw mkewo,, Usile chakula anacho andaa kw ajili yenu, Usioge maji alio kuandalia,, lala nae kitanda kimoja ila usichangie shuka, Unapo ondoka nyumbani usimuage, asijuwe unarudi muda gani nyumban, Asijuwe UNAMIKAKATI GANI KWA SASA! ,, Muda wa wiki mbili majibu utayapata kabisa!!" Hii ndo dawa pekee kw mwanamke malaya,, lakin kumbuka kusalimisha fedha zako uhifadhi mahali ambapo hawezi kuzisogelea,, baada ya muda huo nilio kupa hapo juu ,,hakika Utatuletea mrejesho, Asante
 
picha za ajabu ndio picha gani tena??
 
Vijana watakuwa hawaoi kwa muendelezo wa siredi za hivi..
 
Je akirudi nyumbani akakuta malaya yule kajifungia ndani asimgongee mlango? Namshauri pia aanze kuhamisha vitu vyepesi vyenye thamani kama vile TV na radio.
 
mi nina swala moja kwako. Je mkeo alitoka kwenye familia ya wazazi walioshika dini sana na wakali?
 
nashukuru kaka wewe mtu wa 4 unanipa ushauri huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…