Mke malaya, nimfanyaje?

Mke malaya, nimfanyaje?

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,624
Reaction score
1,826
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.

Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.

Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.

Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.

Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.

Msaada wenu
 
huku nilipo mwezi uliopita kuna jamaa alimfamania muke wake ndani ya nyumba yake alichofanya hakumuongelesha mwanamke kitu chochote,alikuwa anaondoka asubuhi na kurudi usiku bila kumuongelesha mwanamke baada ya siku 4 mwanamke aliondoka mwenyewe
 
Maisha yamebadilika sana Ndugu

Kamwe usijaribu kushika simu ya mwanamke umpendae au mke wako.

Kamwe kamwe usijaribu hicho kitu

Utakayo yaona humo yanaweza kukuadhiri kisaikolojia kwa muda wote wa maisha yako

Wanawake hawa wa kitanzania wa sasa wapo kwenye kipindi cha mpito cha kuiga vitu vinavyofanywa na wanawake wa kizungu. Ni katika kipindi hichi ndipo sisi wanaume tutaumia sana!!!!
 
Back
Top Bottom