Ana cheo gani jeshini?Habari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna mda unaweza kaa nae akaongea tu vizuri na sometimes anavuruga maneno. NB(sio chizi kwamba anavua nguo au labda anapiga watu, hapana. Hes humble and understanding).
Saasa kwakuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai, anahitajika mwenza (mke). Ambaye tunaamini kupitia yeye mumewe atakuwa sawa.
Kama kuna ambaye yupo tayari kwa hili please DM kwaajili ya info zaidi. This is too serious, Asanteni.
Tafuta mwanasaikolojia kwanzaHabari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna mda unaweza kaa nae akaongea tu vizuri na sometimes anavuruga maneno. NB(sio chizi kwamba anavua nguo au labda anapiga watu, hapana. Hes humble and understanding).
Saasa kwakuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai, anahitajika mwenza (mke). Ambaye tunaamini kupitia yeye mumewe atakuwa sawa.
Kama kuna ambaye yupo tayari kwa hili please DM kwaajili ya info zaidi. This is too serious, Asanteni.
Mwenyezi Mungu ambariki, Mwenyezi Mungu amtie nguvu, ninamuombea baraka, Neema na mafanikio katika kusudi, nia na haja ya Moyo wake Amen 🙏.Habari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna mda unaweza kaa nae akaongea tu vizuri na sometimes anavuruga maneno. NB(sio chizi kwamba anavua nguo au labda anapiga watu, hapana. Hes humble and understanding).
Saasa kwakuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai, anahitajika mwenza (mke). Ambaye tunaamini kupitia yeye mumewe atakuwa sawa.
Kama kuna ambaye yupo tayari kwa hili please DM kwaajili ya info zaidi. This is too serious, Asanteni.
Habari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna mda unaweza kaa nae akaongea tu vizuri na sometimes anavuruga maneno. NB(sio chizi kwamba anavua nguo au labda anapiga watu, hapana. Hes humble and understanding).
Saasa kwakuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai, anahitajika mwenza (mke). Ambaye tunaamini kupitia yeye mumewe atakuwa sawa.
Kama kuna ambaye yupo tayari kwa hili please DM kwaajili ya info zaidi. This is too serious, Asanteni.
Jamaa chenga SanaMtaani umekosa? Huku mitandaoni wanawake wengi wadangaji, unataka wamdangie kaka yako?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi zaidi kwanjia hii, kuliko kusimamisha kila unaekutana nae na kuanza kujieleza.Mtaani umekosa? Huku mitandaoni wanawake wengi wadangaji, unataka wamdangie kaka yako?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunatarajia mazuri. Asante sanaHe needs a woman ambae si wa dunia hii wallahi...si wa dunia hii. Nshamuonea huruma hapa mwanzoni tu. Ila kuna wanawake ambao wako so humble, down to earth..ila kwa hapa mtandaoni mdau..sidhani kwakweli. Ila labda atakuwepo. Lets hope. Nawatakia kila la kheri.
Tatizo ni kwamba hawa wanawake wenyewe hawaeleweki anaweza kumpa furaha kwa siku chache then akampa maumivu mengine na kuongeza zaidi tatizo lake, Ila all the best kwa kile nyie mmeona kinamfaa kaka yenu.He's a Men mydia. I think Careness ya mke ni tofauti na hao wasaikolojia.