kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,147
- 2,746
mambo jf?
naomba kuwauliza,mke wangu ni mwajiriwa kwenye bank flani,amefikia level ya kuwa branch manager,so somehow yuko busy kiaiana.ofcoz ndoa yetu haina mgogoro wowote mpaka sasa as tunaheshimiana vizuri tu,ila sasa limeibuka tatizo la mke kumuachia housegal na mtoto wa dada yake majukumu yote ya nyumbani,mfano last two weeks nilirudi home nikamkuta mtoto wa dada yake anafua boxa zangu,sikujiskia vyema kwa kweli, leo tena nimerudi nyumbani nimemuona huyo mtoto wa dada yake anafua chu.pi za wife,nimeshindwa kuelewa hii ni hali ya kawaida au ni nini,au ndo mambo ya kupandishwa cheo hayo ndio yanamfanya mpaka anasahau majukumu yake?
Naombeni ushauri,hili ni jamabo la kawaida kweli?
akiwahi ni saa moja jion mkuuDoh...Wife anarudi home saa ngapi?
Kwanini ukienda kuoga usifue boxer yako?
Nunua mashine kuepusha purukushani mkuu branch manager kamilioni kitu gani...anaweza kujipigia pande mkopo.
umeeleweka mkuu.asanteShida sio Mkeo wala Kazi yake.
Niamin , Shida ni wewe unayekaa kuona ujinga na mambo yasokupendeza alafu bado UNAKAA KIMYA !!.
Mwanamke pamoja na ubize wa kazi zake, kuna majukumu kabisa kabisa hatakiwi kumwachia mwingine ayafanye.
Moja wapo niilo la kufuliwa boksa zako na mdada .
Vile utakavyoamua kumuishi mkeo/Mpenzi ndivo nayeye atakuishi... Ukimzoesha kukaa kimya hata anapokukwaza, ataendelea ivoivo .
Ukimzoesha kuchukua hatua pale anapokukwaza, ndivo pia ataepukana nayale yanayokukwaza.
Mimi Sijaoa , uzoefu nilionao ni kuishi na mwanamke kwa muda Fulani , na kupitia huo muda nilijifunza kua "Kuna wakati wanawake wanabeep".
Alafu mwisho wasiku, kukaa kwako kimya, hakumfanyi akuone Mume Bora, sanasana unaelekea kupoteza hata kile kidogo cha heshima ulichobakisha.
Katika hayo yote , Linda sana
1-Heshima yako kama Mwanaume/Baba
2-Mapenzi
3-Matunzo na Ujalifu wake kwako kama Mumeo. (Hapa namanisha ivi, Lazma ajue kesho unavaa nguo ya aina gani, lazima ujue Umekula ? n.k).
Mwisho , baada ya kufunua kinywa chako , Basi hakikisha kitandani Unampa kitu kinachomkonga moyo, kitu ambacho kinamfanya ajifeel yupo kwa 20yrs....... .utakua shahidi wako mwenyewe sababu atakufanyia Kila kitu ,nakuyaepuka hayo yanayokukwaza.
akiwahi ni saa moja jion mkuu
na hizo chupi zake anazofuliwa ni sahihi?Hata mimi nimejiuliza hivyo. Kama hawezi kununua mashine ya kufua nguo, kwa nini asifue mwenyewe? Haya mambo ya kujifanya sijui mimi mwanaume, ni ya kizamani sana. Fua ngo zako basi.
tabia hii ni ngeni,ndio maana nimekuja kuuliza humu huenda kuna wenye experince na hii mamboOkay..nini kinakufanya ushindwe kumwambia kuwa hupendezwi na hii swala??
na hizo chupi zake anazofuliwa ni sahihi?
asante kwa kucomment.