Mke kumshonea mume wake mashati ya vitenge

Ndondoo,
ukishaona hivyo ujue uzee ndio ushawanyemelea hamna cha kupoteza tena,khaaaah mimi nishonewe kitenge walahi kutachimbika siku hiyo walah
 
Sie tunaonaga fahari sana kuvaa sare na mume, tunawaringishia ambao hawajaolewa[emoji1787] halafu tunavaa kwenye matukio makubwa makubwa [emoji13] ikiwezekana tunashikana na mikono[emoji1], halafu ananifungulia mlango wa gari[emoji23] nikitaka kushuka au kupanda[emoji8] halafu tukishuka tunafanta Kama vile shati lake limekaa upande namtengenezea [emoji14] na yeye anainama kutengeneza sketi au hata kupangusa kidogo kana kwamba kuna takataka[emoji28] baada ya kumaliza mbwembwe ananikiss[emoji12] halafu ananishika mkono tuelekee tunakoingia[emoji38] yaani hapa mie huwa nazimia kwa mahaba[emoji849] yaani najiona Niko paradiso kabisa[emoji41]
Sema hii huwa ni bonge la feki maana atatoka na hichohicho kitenge ataenda kwa mwingine [emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaonyesha kupendana,kushauriana na kusikilizana.Kama hakuna upendo ni ngumu kumshauri mwenzio kuvaa sare .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,jaribu tu kutafakari wewe na mkeo hamuivi,halafu mnatoka unamuona mwenzio kavaa kitenge na wewe unatafuta kinachofanana na chake unavaa,hiyo ni next to impossible.Ukiona wamevaa hivyo vitenge vya kufanana ujue kabisa kuwa kuna element ya kupendana...
 
Ni mapenzi tu hakuna la zaidi! Tena mimi huwa nanunua vitenge pc 3, nashina mm, Mr shati na vitoto vyetu mapacha teh teh.
 
Hivi haya yapo kabisa laivu yanatokea???Mi najua ni maigizo tu katika tamthilia, filamu na bongo muvi….Maigizo hayo sijawahi kufikiria kabisa yaani nimfungulie mlango asiye mlemavu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…