Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,563
- 2,616
Wakuu hii imekaaje akiwa nasafari mpenzi wake ana muwekea box la condom katika begi, na kumwambia akitaka kuchepuka atumie kinga kuliko kumletea magonjwa...je huu sio mtego?
aki zitumia atapata uhakika kuwa anachepuka au sio?
Ingawa hajawahi mfuma hata na SMS za michepuko
Je hii imekaaje kwa wenye uzoefu na mahusiano... Au huyu Mke ni mchepukaji?
aki zitumia atapata uhakika kuwa anachepuka au sio?
Ingawa hajawahi mfuma hata na SMS za michepuko
Je hii imekaaje kwa wenye uzoefu na mahusiano... Au huyu Mke ni mchepukaji?