Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Pole mkuu ila bibie hii ni Mali yake hakuna ulazima wewe kujua iko wapi muhimu unaishi kwenye hiyo nyumba tafuta kiwanja ujenge na weweKimsingi huyu mwanamke alinunua kiwanja baada ya kukopa hela then akaanza ujenzi na mimi nikaweka hela yangu kidogo ninayopata na nilichukulia hii nyumba ni mali ya familia kwa maana tuna watoto watatu
Sasa hivi karibuni mwenzangu kaichukua ile hati ya kiwanja na sijui kaipeleka wapi,actually imeandikwa jina lake Mimi nipo kama shahidi
Asante sana mkuu, hakika nashangaa mwanaume kabisa analalamikia mali za mke wake. Labda tuseme bado mvulana lakini kama ameshakua mwanaume, aamke anawe uso akatafute hela aache kulalamika ...huo muda wa kulalamika angefikiria jambo la kupata hela na angesogea hatua moja mbele.Tafta pesa ununue kiwanja chako
Asante kwa ushauri mkuuAcha na hiyo nyumba. Jenga yako. Usilazimishe mali kuwa ya pamoja, iko siku utaambiwa usiyotaman kuyasikia
Kwa sasa najilaumu sana kuweka hela yangu kwenye ujenzi manake nimechangia kwa kiasi flani pesa yangu bora hata ningeenda tu kufanyia mambo mengine niache apambane nayo peke akeSiwezi jenga nyumba katika kiwanja ambacho hakina jina langu labda kwa wazazi wangu tu. Mke kama ana kiwanja aidha abadile kiwe na majina yetu wote au apambane na hali yake kukijenga.
Mke sio ndugu, undugu unaunganishwa na damu. Mke uunganishwa kwa hati ya kiapo
Hujachelewa kaanze ujenzi mwingine tena nyumba kali zaidi. Ingawa mnajisumbua tu, mali zote zilizopatikana ndani ya ndoa ni mali ya wanandoa kisheria no matter majina yanasomekajeKwa sasa najilaumu sana kuweka hela yangu kwenye ujenzi manake nimechangia kwa kiasi flani pesa yangu bora hata ningeenda tu kufanyia mambo mengine niache apambane nayo peke ake
Sheria hii ya ovyo sanaHujachelewa kaanze ujenzi mwingine tena nyumba kali zaidi. Ingawa mnajisumbua tu, mali zote zilizopatikana ndani ya ndoa ni mali ya wanandoa kisheria no matter majina yanasomekaje