mwache aendelee kususa. Mke kisirani huyo. Hawezi kupayuka wakati amekosea. Alitakiwa akiri kosa na kuwa mwangalifu. Daladala ilivyo tabu atalitumia tu.
Pia chunga lugha yako. Kama una masimango acha.
ni Toyota Spacio
nilimwambia mara moja na hiyo topic sijairudia tena hadi leo. na kwa alivyo nikiwa mpole sana ananikanyaga.Unless uwe haujatueleza yote,kama ulimwambia hivyo mara moja tu au ulikuwa unarudiarudia maneno hayohayo,kurudiarudia ndiyo kusimanga vinginevyo huyo ni Mwanamke mwenye Kisarani "bad tempered",yaani katika makuzi yake amefundishwa "kutokukosolewa",Arrogant,"always right"Pole sana Mkubwa,ukiwa na rafiki/mke mwenye Haiba hiyo inabidi umkabili kwa Upole sana,ni "handle-with care type"Kwanza mwache kwa muda angalau wa Wiki mbili ahenye,halafu siku kaa naye Mweleze kwa Upole "Mke wangu Mpenzi,embu niambie,ukiwa unakosea au una tabia isiyofaa,Mimi mume wako natakiwa nifanye nini?",mwache ajibu hilo swali!!Kama ni mwanamke ambaye anakupenda,swali hilo litamchoma na atakuomba radhi!!!! Otherwise,mpotezee mpaka mwenyewe atambue kwamba anakosea!!!
Wewe na mkeo hamna good communication. Kuibiwa si tatizo mlipaswa mjue ni kwa nini anaibiwa now and then; mgejua sababu mgetatua tatizo na si kulaumiana; mkeo atakuwa anahisi unamwona mzembe kitu ambacho hamna binadamu anapenda.
Mgejiuliza tatizo ni nini; je anapark sehemu ambazo ni hatarishi; au labda ungemshauri awe anapark sokoni kariakoo kwa kuwa kuna ulinzi au awe na urafiki na mateja wa kariakoo ni wezi lakini ni walinzi wazuri tu ukiwakatia pesa kidogo.
Sasa kumlaumu kuwa ni mzembe bila kumpa alternative hata mimi kwa kweli ningesusa. Treat her like a lady utaona kama atakuwa anakununia nunia.