Mke kamuombea mmewe kazi Kwa mchepuko

Mke kamuombea mmewe kazi Kwa mchepuko

Mwanamke akiomba talaka mpe haraka iwezekanavyo, halafu wewe angalia Mambo mengine!!
Soma kwa mstari hadi msitari mkuu! Narejea aliposema jamaa ana demu kisu balaa! Itakuwa alimkabidhi moyo, biashara, uhai, kachaguliwa ndugu wa kuongea na kutokuongea nao, kachaguliwa nani wakufika na kutofika nyumbani!
Talaka itakuwa ngumu maana ashageuzwa dubwasha sio mwanamme tena. Akiachwa anahisi ataishije ilihal kila kitu kakabidhi
 
Nitaileta yote baada ya kikao

Wanaume Tujitahidi kutafuta pesa zisikate na tuepuke kuoa wanawake wazuri Sana

Huyu mwamba anamwaga machozi ambayo sikutegemea Kama anaweza kulia kiasi hiki
Mwanamke hana muda anadai apewe talaka
Mwamba ndo anatetea ndoa ibaki kisa wana watoto
Malizia kulia kisha tuletee kisa chako chote usiwe na haraka ya kupost wakati bado unalia.
 
Ni mmoja kati ya walioitwa kutoa ushauri baada ya mwanaume kugundua bosi wake ni mchepuko wa mkewe na kazi anayoifanya aliombewa na mke wake.

Story iko hivi

Jamaa alikuwa na kazi nzuri na maisha ya mtanzania wa kati, Mkewe alikuwa akisimamia mradi aliofunguliwa na jamaa.

Baada ya Kazi kubuma jamaa aliamua kukaa nyumbani na kuacha mke aendelee kuiendesha familia Kwa mradi wa jamaa.

Siku zilienda jamaa akawa anapokea malalamiko kutoka Kwa mke kuwa hatafuti pesa, kazi yake ni kukaa tu.
Siku zimeenda mke akaja na taarifa nzuri ya kumpatia jamaa kazi nyingine nzuri kuliko ya mwanzo.
Atakuwa maefumwa na mhusika akivujusha siri za kikao. Wanaume wa dar bwana ni shida.
 
Back
Top Bottom