Mke kampeleka mme polisi

Mke kampeleka mme polisi

Huduma mbele ya kuwekana vidonda ina nafasi kweli? Kama alijua kuna wakati anahitaji huduma kwanini alifanya tukio kama hilo?
 
ni haki kabisa kwa vile ni kosa kisheria, lakini kimahaba siyo kosa maana siku hizi kuna mahaba niue
 
Nina uhakika akipona atarudi kwa mumewe... Chezeya malove weye... Na ataenda mwenyewe kufuta kesi
Kama anampenda mumewe ni dhahiri atarudi na hata kufuta kesi. Lakini kwa kufanya hivi haimaanishi kuwa anakubaliana na lile alilotendewa na mumewe. Heshima kwa wanawake wote wanaochukua hatua baada ya kufanyiwa ukatili; wengi wao huwa wanaogopa lawama za ndugu na kuishia kuwa watumwa wa ndoa.
 
Mme na mke waligombana, wakati wa ugomvi mme kachukua msumemo kamkata mke kwenye paja. Damu zikatoka kwa wingi. Mke akaamua kwenda polisi kufungua kesi na kupewa PF3 ili aweze kutibiwa.

Polisi walikuja kumchukua mme wake na kumuweka Rumande. Je ni haki?

kama sio haki, kamata wa kwako ufanye hivyo labda yeye hatakupeleka polisi.
 
Shida nyingine ni kuwa mme mwenyewe kwenye familia yupo kama hayupo maana, si msaada kwa familia yake. Kwa maneno mengine ni mme suluali.
 
Back
Top Bottom