Mke jeuri

Mke jeuri

KyemanaMugaza

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2025
Posts
270
Reaction score
415
kuna ndugu yangu analalamika hana maelewano mazuri na majirani zake kisa mkewe yaani mkewe amekuwa mtu wa vituko mara kamchamba jirani huyu mara kamuona huyu katema mate mara kesi ya kutupa taka hovyo ,imefikia akipika mayai anatupa maganda mlangoni kw jirani kifupi ni mtu wa shari

Anaomba ushauri afanye nini kuhusu mwanamke huyu akimwacha itakuwa suluhisho la tatizo au ahame mtaa huo au ampeleke kwa wazazi wake au mpige tu yaani😥

Ushauri wenu wadau
 
Atakuwa mzaramo, ongea nae vizuri kuwa tabia hiyo si nzuri else muite mumemewe ongea nae kiume
Ikizid kuna viongz wa nyumba kumi
 
Asimpige ampe onyo Kali ili awe mstaarabu kwa majirani zake huyo bidada tabia yake sio nzuri ila akipewa onyo ataacha hiyo tabia
 
Ndugu yangu sema tu ni wewe usisingizie watu humu tunatumia majina bandia
Anyway ushauri panga nyumbani ya peke yako yenye fensi itakuwa umemaliza utata wote. Kumwacha sio solution
 
Dawa yake mke apigwe mimba za watoto kufuatana kama ngazi ndani ya miaka sita watoto watatu atapata adabu tu.
 
Back
Top Bottom