Mke jamani

Awe mwalimu/ nesi awe ameajiliwa,umri 18-23,mweupe wa asili,mkristo,mzaliwa wa Mbeya,portable,asiwe mzuri sana wala mbaya wa muonekano, ntakuwa mme mwema kwake,call 0766228346
.God bless me for this
Nadhani ulimaanisha hivyo!!!!!!!!!!
 
Kazi yako, umesomea, umeajiliwa, umri, rangi, ni asili /modified, mkoa unaotoka,wilaya, tarafa,kata,kijiji,kitongoji,kabila, ukoo,kaya,vipimo vya mwili wako,muonekano wako,tabia zako,dini na dhehebu lako, afya yako hasa HIV, cycle cell,kifafa bila kusahau magonjwa mengine ya kurithi!
vyote hivyo bainisha hapa pengine na ushahidi wa picha na document za hospital ili mabidada wachangamkie hiyo tenda ya kuolewa!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…