Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya kati au mrefu, elimu yake iwe kuanzia form 4 na kuendelea, asiwe na tamaa ya pesa, awe tayari kwenda kupima Ukimwi mara 3, asiwe na mtandao mkubwa wa marafiki wanao penda kujirusha. Karibuni
Mkuu hujapata tu???
Charminglady, nlitangaza jana wamenishauri kwa kunipa sababu za msingi kuusu vigezo mojawapo nimeondoa sasa nahitaji kwakweli.
Wewe unauliza nini?!?! Mpaka aseme kuwa yeye Domo Zege?!?jibu kwanza swali, ulikuwa wapi?
Asiwe anapenda pesa?!?!?
Unadhani kuna mwanamke atayeku-PM akwambie anapenda pesa? Hayo yanakuwa yatokanayo baada ya kuanza
Wewe unauliza nini?!?! Mpaka aseme kuwa yeye Domo Zege?!?
ninae mdogo wangu 38 yrs unamtaka.....?
wacha aseme, au unakidhi vigezo....?yeye anamtaka
eh! kumbe, kuna madhara makubwa hivi? pole kaka mtoa mada, utampata tu.
hili swali ni sawa na kumuliza dr anaetaka kuoa akiwa karibu 70 kwamba alikua wapi.jibu kwanza swali, ulikuwa wapi?
apime mara tatu,kisha utakua unamfungia ndani asiupate?.Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya kati au mrefu, elimu yake iwe kuanzia form 4 na kuendelea, asiwe na tamaa ya pesa, awe tayari kwenda kupima Ukimwi mara 3, asiwe na mtandao mkubwa wa marafiki wanao penda kujirusha. Karibuni