Mke jamani nahitaji sana

SOSTENESS

Member
Dec 22, 2013
19
1
Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya kati au mrefu, elimu yake iwe kuanzia form 4 na kuendelea, asiwe na tamaa ya pesa, awe tayari kwenda kupima Ukimwi mara 3, asiwe na mtandao mkubwa wa marafiki wanao penda kujirusha. Karibuni
 
Ulikua wapi
 
Hapo kwenye umri sijaelewa, wewe uko 37 halafu unayetafuta kuanzia 26-40???
 
Asiwe anapenda pesa?!?!?

Unadhani kuna mwanamke atayeku-PM akwambie anapenda pesa? Hayo yanakuwa yatokanayo baada ya kuanza
 
DA+13.jpg
 
eh! kumbe, kuna madhara makubwa hivi? pole kaka mtoa mada, utampata tu.

Sasa unadhani kuna maelezo gani tena, mtu mzima mwenye shughuli zake ashindwe kupata mabinti mtaani huko walivyojaa tele, hili ni janga la kitaifa...
 
jibu kwanza swali, ulikuwa wapi?
hili swali ni sawa na kumuliza dr anaetaka kuoa akiwa karibu 70 kwamba alikua wapi.

Ni maamuzi tu,mfano mi nataka kuoa nikiwa 50 alafu nioe mwenye 20 years.
 
Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya kati au mrefu, elimu yake iwe kuanzia form 4 na kuendelea, asiwe na tamaa ya pesa, awe tayari kwenda kupima Ukimwi mara 3, asiwe na mtandao mkubwa wa marafiki wanao penda kujirusha. Karibuni
apime mara tatu,kisha utakua unamfungia ndani asiupate?.

Nadhani umekua unasita kuoa juu ya kuogopa sana ukimwi(ukimwiphobia).
Ukimwi haupo ni imani tu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom